Moto mkubwa katika kituo cha Bamaga

Tusiwalaumu sana FIRE, ENZI ZA MWALIMU walikuwa na sehemu zao za kujazia maji. Zote zimevamiwa hawana sehemu hizo tena.
Magari yao yanabeba maji kidogo wakifika tu na kuanza kuzima yanaisha (hivyo wanarudi kituoni kwao kilometa 20, ongeza na foleni hapo kuchukua maji) sisi tunafikiri hawakuwa nayo.

Ujenzi wetu atuzingatii miundo mbinu ya maji ya zima moto zile gali uwa zina pump tu ya kusukuma maji ya zima moto ni lita 5000 hadi 7000 tu
Wanategemea wakute maji kwenye tukio
 
Tena pale wanauza mitungi ya gas....itakuwa balaa kama mbagala vile...yakishika moto ........twaomba uzima pale kwa wakazi wa jirani na wafanyakazi....

Kwa kawaida ile mitungi inahimili sana joto kwa hiyo fire ikiwahi hakuna shida.
 

Attachments

  • Photo-0043.jpg
    Photo-0043.jpg
    28.2 KB · Views: 65
  • Photo-0044.jpg
    Photo-0044.jpg
    30.5 KB · Views: 56
  • Photo-0045.jpg
    Photo-0045.jpg
    32.8 KB · Views: 61
Back
Top Bottom