Most wanted

Hebu weka ushahidi nimemchakachua nani?
Hii tag ya invi hii siju...................................iiii
 
Pacha mambo?...ukitaka kunikamata njoo PLAY TIME MWENGE...kama kumnyatia KIZIWI...
 
pacha mambo?...ukitaka kunikamata njoo play time mwenge...kama kumnyatia kiziwi...
upo mwenge sehemu gani?
Nipo hapa naoshwa miguu na huyu kaka wa kicongo njoo
maana huo mguu wako kwa kuchana shuka ni noma
 
upo mwenge sehemu gani?
Nipo hapa naoshwa miguu na huyu kaka wa kicongo njoo
maana huo mguu wako kwa kuchana shuka ni noma

wapi hapo...?maana hapo hata mwanaume ukipita wanakuita..."anko karibu usuke"..boh!...
haya na ww siku hizi umeshindwa kuoga home sio?...na lile jiwe nimekuwekea pale mlangoni?
 
wapi hapo...?maana hapo hata mwanaume ukipita wanakuita..."anko karibu usuke"..boh!...
Haya na ww siku hizi umeshindwa kuoga home sio?...na lile jiwe nimekuwekea pale mlangoni?
ahahaaa si ndo mnayataka nipo hapa kona kuna likaka ninawekewa nyusi za bandia hapa
hivi kuna wanaume tena mjini hapa kweli
maana tunavogombania carolait mtaani humu loh..... Kazi ipo
 
ahahaaa si ndo mnayataka nipo hapa kona kuna likaka ninawekewa nyusi za bandia hapa
hivi kuna wanaume tena mjini hapa kweli
maana tunavogombania carolait mtaani humu loh..... Kazi ipo

Smile hebu mwangalie vzur huyo anayewekewa hzo nyusi. Pengne sio rizki
 
Last edited by a moderator:
we Smile umeanza ln kupaka hayo makarolait hata ukagombanie na hao mapunga huko madukani?
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa si ndo mnayataka nipo hapa kona kuna likaka ninawekewa nyusi za bandia hapa
hivi kuna wanaume tena mjini hapa kweli
maana tunavogombania carolait mtaani humu loh..... Kazi ipo

mwambie akubandikie kope za kijani...maana ulivomweupe zitakutoa chicha niaje...ntalipa mm tafadhali...nipo hapa kigorofani stand...njoo ule ball-cone ya azam!
 
BAGAH Amyner Cantalisia Smile Rejao Husninyo sweetlady1 Smiling Saint Erickb52 Kongosho Asprin.

Yeyote atakayefanikisha watu hao kupatkana atapata donge nono.

Watajwa hapo juu wanashtakiwa kwa kosa la kuchakachua mada ya wajumbe wengine.
Wakishakamatwa hao itakuwa rahsi kukamata wengne waliosalia..

Wenu Mtiifu katika uboreshaji wa Jamii Forums/Chit- Chat
Mtei One.
Mtei mambo vp?

Mechi ya baca na chelsii ilikuwaje?
Siku ile nilikua bize sana na papa Rejao tunakula kitumbua na soseji nipe matokeo basi!!!

Jf raha sana yani huku mmenitaja natakiwa kule in box yangu ikapokea msg mtei ananitafuta!!!

BIG UP JF LOL!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom