Familia ya JF Chit-Chat pongezi kwa kupendana

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,572
31,887
Wanabodi,

Napenda kutoa pongezi kwa wanafamilia wa Chit-Chat kwa kuonyeshana mapenzi makubwa na kuwa wamoja inapendeza sana...Copy kwa King Kong III, Asprin, Madame B, Smarty, King'asti, Asulo, BADILI TABIA, Mentor, Boflo, zubedayo_mchunguzi, Daudi mchambuzi, Bulldog, TANMO, Kaizer, Kongosho, Mamndenyi, Bishanga, AshaDii, Preta Kipipi, Ruhazwe JR, Baba V, ruttashobolwa tedo, Arabela@The Boss, charminglady, Young Master, nyenrere, ADK, Jeji, Rejao, Lizzy, Mwali, Smile, Katavi, Cantalisia, Dark City, Nicas Mtei, Husninyo paka Jimmy, na wadau wote wa Chit-Chat.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana.
Yani huku Stress free na twapendana kama Koti na Babu.
Nawe pia wakaribishwa Ritz
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mdau! Ukiona kule kwenye stress kichwa kinajam unakuja kulegeza mishipa ya ubongo huku!
 
Mkuu umeninyanyapaa kwakuwa kule uwanjani tunakimbizana au umenisahau tu! Ukibahatika kukosa ban kule, unakuja kupumzika hapa. Karibu sana mkuu!
 
Mkuu umeninyanyapaa kwakuwa kule uwanjani tunakimbizana au umenisahau tu! Ukibahatika kukosa ban kule, unakuja kupumzika hapa. Karibu sana mkuu!

ha haa ha, Copy kwa Filipo,
 
Last edited by a moderator:
baba yako kaenda kupanda farasi wewe sasa hivi unaufakamia ulabu najua upo leaders club sasa hivi unatandika moja moto moja bardi sasa hadi muda ukifika ww si utakuwa chali tayari
 
baba yako kaenda kupanda farasi wewe sasa hivi unaufakamia ulabu najua upo leaders club sasa hivi unatandika moja moto moja bardi sasa hadi muda ukifika ww si utakuwa chali tayari

Hebu weka siasa kando hapa tunabanjuka na Ma-Copy Bana..
 
Copy kwa Ritz
Copy kwa Rejao
Copy kwa Faiza Foxy
Copy kwa Malaria Sugu
Copy kwa Magwanda popote walipo
Copy kwa Magamba popote walipo
Copy kwa Kafuu popote walipo
Copy kwa Tielipii popote walipo
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom