DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nchi hii bwana waalimu wananyanyaswa sana.
Huyo Ngonyani niliwahi kusikia habari zake ni Mungu mtu hapo Moshi.
Anawasumbua sana watu hapo.

Inakera sana kwa kweli.
 
Walimu bwana yaani mnajifanyaga maafisa vipeeenyokila kitu mnajua... waandishi wa habari ni nyie, askari ni nyie, mahakama ni nyie
FULL MAJUNGU!
Fanyeni kazi, tafuteni hela shida ni umasikini tu hapo hamna jengine
 
Walimu mna majungu mnoo!! Eti Afisa Elimu kajenga nyumba 4 na kanunua magari 4. Tafuta pesa nawe ujenge na kununua magari.

Eti watoto wamelawitiwa, kesi imefika Mahakamani, Afisa Elimu kapewa 5M na kesi ikafutwa. Utadhani ulimuona akipewa hizo 5M, si ungepeleka habari TAKUKURU ndugu?? Yaani kesi ipo Mahakamani halafu rushwa apewe Afisa Elimu na Mahakama ikafuta kesi!!!!!!
 
Walimu bwana yaani mnajifanyaga maafisa vipeeenyokila kitu mnajua... waandishi wa habari ni nyie, askari ni nyie, mahakama ni nyie
FULL MAJUNGU!
Fanyeni kazi, tafuteni hela shida ni umasikini tu hapo hamna jengine
 

Attachments

  • 9BC9AFA3-1BE7-4FC5-8F3A-6895C8676C8C.jpeg
    9BC9AFA3-1BE7-4FC5-8F3A-6895C8676C8C.jpeg
    58.5 KB · Views: 7
Fanyeni kazi.. acheni majungu..

Wewe pia fanya kazi acha majungu
 

Wewe pia fanya kazi acha majungu
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025
 

Wewe pia fanya kazi acha majungu
Majungu tuuu....
 
Back
Top Bottom