Moses Sithole: Handsome aliyetikisa kwa mauaji ya kutisha ya wanawake 38….!

Duh jamaa kanishangaza kweli hasa kitendo chake cha kupiga p... mbele ya miili ya marehemu.Asante Mtambuzi kwa kisa cha kusisimua.
 
Last edited by a moderator:
nataka nianze tembe na wanawake wanao jiuza, kisha nikimaliza haja zangu nawa toa uhai wao, kama wamo humu wawe makini sana sasa ivi......... maaanaaaa na ninaa nzia Jolie, then cuba:hail:
 
mkuu mtambuzi, mbona sijaona role ya hao jamaa wastaafu wa FBI, kila kitu ni kama kilianza kuwa obvious ushahidi wa kwenye mkoba ulitosha
 
mkuu mi nimeisoma yote imenikuna kweli, nasikitika jamaa alivyokuwa anaua mabinti tu ambao hawakuwa na hatia zaidi ya bangi za jamaa kumpeleka vibaya. ninekuwa halimu ningeamua na yeye abakwe na wafungwa kwanza then anyongwe angalau na yeye aonje masahibu aliyowapa watoto wa watu.
 
Story ni ndefu nitaisoma baadae. ila jamaa sio handsome, not at all!!!!!!!!!!!!!!!!:A S angry:
 
Mtambuzi nakupendaje na visa vya kusikitisha
ahsante sana
 
Last edited by a moderator:
A mauling mostly morbidly morose.

While I understand that some people would feen on this gratuity of the grotesque - no other way to put it- or even dress it in some psychologically valid way, unless you aspire to be a pathologist or some other godforsaken arm of medicine, psychology or law enforcement that would draw benefit from the observations bestowed by the characters in this unfortunately gross account, I see no justified reason for one to maul through this ghastly gloom.

Life is short, why mar it with unnecessary morbidity?
 
Back
Top Bottom