G guccio Senior Member Feb 20, 2011 137 22 Dec 30, 2011 #1 kulikuwa na majuha wawili wanaongea na mazungumzo yao yalikuwa hivi... Juha1:ivi jombaa kati ya morogoro na mwezini wapi mbali!!? Juha2:iiii ebu jiangalie na maswali yako ya kitoto wewe,kwani we morogoro unapaona!???
kulikuwa na majuha wawili wanaongea na mazungumzo yao yalikuwa hivi... Juha1:ivi jombaa kati ya morogoro na mwezini wapi mbali!!? Juha2:iiii ebu jiangalie na maswali yako ya kitoto wewe,kwani we morogoro unapaona!???