moro na mwezini wapi karibu...

guccio

Senior Member
Feb 20, 2011
137
22
kulikuwa na majuha wawili wanaongea na mazungumzo yao yalikuwa hivi...
Juha1:ivi jombaa kati ya morogoro na mwezini wapi mbali!!?

Juha2:iiii ebu jiangalie na maswali yako ya kitoto wewe,kwani we morogoro unapaona!???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom