Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,169
- 95,514
Kigwa bado yupo busy na dr mwakaDadaangu Umi mwalimu ajiangalie na awe makini kama waziri husika tena sana maamuzi ya Afya ni uhai wa mtu na sio jambo la kumfrahisha raisi sababu ya kubana matumizi halaf nauliza huyu hamisi kigangwala si daktar mbona Yuko kimya kwa haya jaman uongozi ni dhamana na mtu akifa au kupoteza kiungo kwa makusudi mtakuja wajibika duniani na akhera.