MOI hoi bin taabani

Dadaangu Umi mwalimu ajiangalie na awe makini kama waziri husika tena sana maamuzi ya Afya ni uhai wa mtu na sio jambo la kumfrahisha raisi sababu ya kubana matumizi halaf nauliza huyu hamisi kigangwala si daktar mbona Yuko kimya kwa haya jaman uongozi ni dhamana na mtu akifa au kupoteza kiungo kwa makusudi mtakuja wajibika duniani na akhera.
Kigwa bado yupo busy na dr mwaka
 
Kumbe zile ziara za Muhimbili kupeleka vitanda etc za awamu hii zilikuwa ni mbwembwe tu ya nguvu ya soda. Sasa Muhimbili inaanza kuelemewa kutokana na ufinyu wa bajeti na si ajabu hali hii inaathiri kila idara na si MOI pekee.
Hahahah ni hatari sana kutumaini viongozi wanaoishi kwa matukio!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ASEME TU KAMA MAJUKUMU ALOPEWA NI MAKUBWA MAANA KATIKA AFYA SIASA HAINA NAFASI NI UTAALAMU TU HII WIZARA DAIMA WANAPEWA MA DK SASA NASHANGAA SIO KILA SEHEMU MAJARIBIO JAMAN BABA MAGUFULI TUNAKUOMBA WIZARA YA AFYA IPIGE JICHO MSAADA WAKO WA DHATI UNAHITAJIKA AFYA ZA WATU DHAMANA KUBWA
Magufuli mwenyewe anahitaji msaada wa kuendesha hii nchi, sema tu anajifanya kichwa ngumu
 
Kishasema hataki mtu amcheleweshe na kukurupuka kwake. Washauri tupa kuleee this is a one man show.

Wangekuwa wanashaurika huu ushauri wako ni bora sana
 
By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Ufinyu wa bajeti katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) umesababisha taasisi hiyo kuzidiwa na wagonjwa wa upasuaji, huku wengine wakisubiri huduma hiyo kwa zaidi ya miezi minne.

Kabla ya tatizo hilo la kifedha MOI ilianzisha kambi maalumu ya Jumamosi na Jumapili na waliweza kuhudumia wagonjwa hadi 30 kwa siku hizo mbili.

MOI kwa kawaida hutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa wanane hadi 10 kwa siku, lakini kutokana na ufinyu wa bajeti uliosababisha kuondolewa kambi za mwishoni mwa wiki, umesababisha ongezeko la idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji.

Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi katika wodi ya MOI jengo jipya, umebaini uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa waliokaa muda mrefu wakisubiri huduma ya upasuaji, huku wengine wakirejeshwa nyumbani.

Hizo overtime Ni bora wongeze wafanyakazi , au wawezeshe hospitali nyingine
 
Mungu tu ndiye anayejua tunaelekea wapi sasa Adi kwenye afya za watu mnabana matumizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kumbe zile ziara za Muhimbili kupeleka vitanda etc za awamu hii zilikuwa ni mbwembwe tu ya nguvu ya soda. Sasa Muhimbili inaanza kuelemewa kutokana na ufinyu wa bajeti na si ajabu hali hii inaathiri kila idara na si MOI pekee.
Kwani kuna idara ambayo haijaathirika?
 
Muhimbili inawalipisha matibabu hadi wagonjwa wa akili tangu uhuru haijawahi tokea
 
By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Ufinyu wa bajeti katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) umesababisha taasisi hiyo kuzidiwa na wagonjwa wa upasuaji, huku wengine wakisubiri huduma hiyo kwa zaidi ya miezi minne.

Kabla ya tatizo hilo la kifedha MOI ilianzisha kambi maalumu ya Jumamosi na Jumapili na waliweza kuhudumia wagonjwa hadi 30 kwa siku hizo mbili.

MOI kwa kawaida hutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa wanane hadi 10 kwa siku, lakini kutokana na ufinyu wa bajeti uliosababisha kuondolewa kambi za mwishoni mwa wiki, umesababisha ongezeko la idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji.

Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi katika wodi ya MOI jengo jipya, umebaini uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa waliokaa muda mrefu wakisubiri huduma ya upasuaji, huku wengine wakirejeshwa nyumbani.
NILISHAANZA KUTUMA MPESA ZA RAMBIRAMBI KWA MKE MDOGO PALE NAKURU UWII
 
WAPUNGUZE WAFANYAKAZI..WAPEWE MAFAO YAO 1

2;WALIOPO WAINGIE MKATABA NA SERIKALI MIAKA MIWILI MIWILI USIPOWEZA TIMIZA MAHITAJI WANAKUONDOA

3))ITENGENEZWE TUMEE MAALUM YA KUFWATILIA MAPATO YA MOI YANATLYOPATIKANA KILA SIKU NA YANAPOKWENDA(NAHISI MMELEWA HAPO SITORUDI NYUMA))

4)KAMA WANAWEZA WAWEKE CCTV KILA IDARA INAYOHUSIKA NA MALIPO NA WATAALAM WA WIZARA WAWE WANAKWENDA KUZIANGALIA KILA WIKI BILA KUKOSA -IT

5))MISHAHARA YA WAZEE WAJUU IPUNGUE KIDOGO HATA KAMA WATAOMBWA KWA MWAKA WAKATI HUU MGUMU WA KUBORESHA MOI

5))MBORESHE HUDUMA ZENU MWACHE NA DHARAU NA PALE MHUSIKA ANAPOKUWA NA SHIDA MSAIDIENI

6))WEKENI MAJINA YA KILA MFANYAKAZI IKIWEZEKANA NA NAMBA KABISA KAMA N SITA SABA ANAPOJIBIWA MTEJA OVYO KUWEPO NA NAMBA MAALUM YA KUPOKEA MATATIZO..SISEMI AMEKUNYIMA UNYUMBA NESI UPIGE AJAKUHUDUMIA NO....HAKIKISHA MPIGAJI UNAREKODI MANENO YAKO KWA UFWATILIAJI MAALUM...

BADAE
 
Mkuu BAK nimekuja faster nikidhan yule rais wa Kenya yupo hoi. Ila kazeeka sana lakin si wanalingana kiumri ama wamepishana kidogo na mzee ruksa lakin angalia ruksa alivyo strong nadhan hii ni kwasabab ruksa hakukandamiza demokrasia
Mzee ruksa iko strong? Unatania? Mzee mguu ndani mguu nje? Tumwombee kama wengine tu wanaomba waombewe.

Hili la "hakukandamiza demokrasia" waulize CUF. Mimi nimewasikia wanasema wamefanyiwa "Mapinduzi daima " mara 5 na Mzee Ruksa alikuwa mkulu 1985- 1995. Uchaguzi wa vyama mingi ulianza 1995. Kama hii ni sahihi, yeye alihusika katika mapinduzi ya "matokeo ya uchaguzi" wa 1995.

Link Ali Hassan Mwinyi Hakuzaliwa zanzibar,na sio mzanzibari kama munaVyo amini- CV yake hii hapa
 
Dadaangu Umi mwalimu ajiangalie na awe makini kama waziri husika tena sana maamuzi ya Afya ni uhai wa mtu na sio jambo la kumfrahisha raisi sababu ya kubana matumizi halaf nauliza huyu hamisi kigangwala si daktar mbona Yuko kimya kwa haya jaman uongozi ni dhamana na mtu akifa au kupoteza kiungo kwa makusudi mtakuja wajibika duniani na akhera.
Muulize hivyo veti kama viko sawa.

swissme
 
Kumbe zile ziara za Muhimbili kupeleka vitanda etc za awamu hii zilikuwa ni mbwembwe tu ya nguvu ya soda. Sasa Muhimbili inaanza kuelemewa kutokana na ufinyu wa bajeti na si ajabu hali hii inaathiri kila idara na si MOI pekee.
Mkuu kuna siku waziri wa mambo ya nje alisema hahitaji misaada ya nje na kutoa lugha ya kejeli nikasema never bite the hand that feed you. sasa wacha tule jeuri yetu misaada haiji wamebakia majangili ya kichina tu na Kuhakiki basi. Bajeti haitafanikiwa kutokana tume shazoweshwa kusaidiwa miaka nenda miaka rudi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom