modem

hata mimi nakujua kwamba dukani zinapatikana lakini duka lipi?
 
nenda TTCL customer care utapata wanazo mpaka za DSL ukikosa achana nazo maana TTCL inapumulia mashine nowadayz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom