Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,080
- 4,876
Sheli ni nini? Nyie ndio mlibakwa utotoni.Bao la shoga haliwezi kutoa mtoto boraView attachment 2400934
Sheli ni nini? Nyie ndio mlibakwa utotoni.Bao la shoga haliwezi kutoa mtoto boraView attachment 2400934
Azam vitu vinaonekana boss tuache uongo unaweza tembea Dar usikutane na gari la AZAM?Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa
Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
ACHA KUPAMBA MAVI MAUA MO NI DALALI TU ATA IZO PIKIPIKI BAJAJI NI DALALI TU KAMA WALE WA MASHAMBAWewe humjui mo dewji kumbe jamaa amewekeza kwenye mashamba ya mkonge kwenye vyakula kwenye mafuta kwenye kuuza vyombo vya usafiri bidhaa zake nyingi anauza nje ya nchi au ulijua hela anapata simba tu mzee
Anahonga aandikwe ili apate udalali wa bajajUsichokijua Kampuni ya Mo ina makampuni mengine huko West Afrika. Forbes hawawezi kumsingizia wakameacha huyo umtakae wewe, hawana sababu yoyote ya kufanya hivyo
Hata kama ni hivyo mimi hainingii akilini kuwa mo dewji,anamzidi utajiri Bakhresa,labda kama utajiri wa bakhresa hauko wazi,ili kuweza kupata data zote za mali zake.CAPITAL = ASSETS - LIABILITIES
Utajiri ni sawa na mali zote ulizonazo kisha ondoa madeni.
Tatizo hutumii akili, sasa utaonaje?Azam vitu vinaonekana boss tuache uongo unaweza tembea Dar usikutane na gari la AZAM?
MIMI SIJAWAHI ONA KIWANDA CHA MO WALA GARI LA MIZIGO YAKE
Pitieni kwenye website zao wametoa maelezo, utaona nani ana mapato makubwaHata kama ni hivyo mimi hainingii akilini kuwa mo dewji,anamzidi utajiri Bakhresa,labda kama utajiri wa bakhresa hauko wazi,ili kuweza kupata data zote za mali zake.
Kwa jinsi unavyomuita tu kuwa ni mbabaishaji, akili yako imeshajiseti hivyo so jibu zuri lolote utakaloambiea kwa nini yeye ndio namba moja hautakubali..Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa
ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.
Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndiyo tajiri wa Tanzania? Ama anafanya ubabaifu aonekane hivo?
List ya forbes huwa inaambatanisha pia hao wengine ila wakiwa namba za nyuma...Ni tajiri kijana namba 1,na si tajiri namba moja.
Wazee wana heshima zao.
Wivu wa vijana.. kwa nini kijana awe juu alafu wao wawe chini..Sijawahi jua huyu jamaa aliwakosea nini wabongo.......
Anapigwa vita sana hasa na vijana.
Hahahaa MO gari zake hazinaga machata ya MO kama Azam ni chache zenye machata ya kampuni yake.Azam vitu vinaonekana boss tuache uongo unaweza tembea Dar usikutane na gari la AZAM?
MIMI SIJAWAHI ONA KIWANDA CHA MO WALA GARI LA MIZIGO YAKE
Mamlaka ya mapato nayo inadanganya inaposema mo analipa kodi zaidi ya barkhresa? Unalipa zaidi kutokana na unavyozalisha...Mo mjanja mjanja tu na sitoshangaa ikija kugundulika amepika takwimu. Tajiri gani viwanda vyake vichafu na vimechoka, magari mengi mabovu na wafanyakazi wake wengi wana hali duni kimaisha.
Mfanyakazi wa Bakhresa na Rostam huwezi kumfananisha na wa Mo kwa kuangalia hali zao za maisha.
Lori zake nyingi za kwenda mikoani na nje ya nchi ni pale tu ubavuni kwenye kichwa (cab) zimeandikwa 21st Century Food and Packaging au Glenrich Transport. Hazina chata la MO au MeTL, kwa hiyo si rahisi kujua ni za kampuni yake.Azam vitu vinaonekana boss tuache uongo unaweza tembea Dar usikutane na gari la AZAM?
MIMI SIJAWAHI ONA KIWANDA CHA MO WALA GARI LA MIZIGO YAKE
Kitu ambacho Bakhresa kamzidi MO ni ubora wa bidhaa (quality) kwa hapo Azam hana mpinzani. Tukilinganisha ubora wa bidhaa ambazo wote wanatengeneza mfano unga wa ngano wa Azam na Safi/Mo, unga wa Azam ni bora zaidi ya Safi/MoHata kama ni hivyo mimi hainingii akilini kuwa mo dewji,anamzidi utajiri Bakhresa,labda kama utajiri wa bakhresa hauko wazi,ili kuweza kupata data zote za mali zake.
Leta hiyo link ya TRA.Mamlaka ya mapato nayoninasanganya inaposema mo analipa kodi zaidi ya barkhresa? Unalipa zaidi kutokana na unavyozalisha...
Kupitia comment yako na comment mbali mbali za wadau inaonyesha watanzania wengi tunaishi kwenye umasikini tena wa kiwango cha chini kabisa tuna safari ndefu kama nchi kufika nchi ya ahadi ndo maana mtanzania ukimwambia mimi nilishaenda Dubai anakushangaa kupinga na kubisha kila kitu unachoambia bila facts ni dalili ya umasikini wakati kwa wenzetu hivyo ni vitu vya kawaida sana.ACHA KUPAMBA MAVI MAUA MO NI DALALI TU ATA IZO PIKIPIKI BAJAJI NI DALALI TU KAMA WALE WA MASHAMBA
huhitaji mjadala vipi?badala ya kutoa facts?mkuuKitu ambacho Bakhresa kamzidi MO ni ubora wa bidhaa (quality) kwa hapo Azam hana mpinzani. Tukilinganisha ubora wa bidhaa ambazo wote wanatengeneza mfano unga wa ngano wa Azam na Safi/Mo, unga wa Azam ni bora zaidi ya Safi/Mo
Ila kwa upande wa mkwanja Mo kamzidi Bakhresa hatuhitaji hata mjadala kwenye hilo
Hakuna mwenye DAF nyingi Tanzania kumzidi MOHahahaa MO gari zake hazinaga machata ya MO kama Azam ni chache zenye machata ya kampuni yake.
Ila wakongwe hapa town tukiona SHIFENG tu ya rangi ya kijivu au FAW za blue tunajua MO huyoo anapita
Bakhresa (Azam) ana nembo za ubora katika bidhaa zake zinazotambulika kimataifa kama UKAS na ISO 9001 and ISO 22000 pia wana tuzo kadhaa za kimataifa za ubora.huhitaji mjadala vipi?badala ya kutoa facts?mkuu