nape?
uungane na nape ili iwe nini?
huyu ni mtetezi wa mafisadi na ufisadi,ni jasiri wa kifisaadi hajawahi kushinda kwa anayoyasimamia.
nape akikuambia hii ni rangi nyekundu ukitulia na kuichunguza vizuri unakuta ni njano.
sijui ni hana msimamo au hajijui?
Hivi Kafulila ni Kiongozi??! Anamwongoza nani???Wadau nimeinasa mahali kuwa kuna mazungumzo yanaendelea baina ya baadhi ya Viongozi vijana kuacha tofauti zao za kiitikadi (Kivyama) na kuanzisha jukwaa la Viongozi vijana kwa lengo la kujadili mstakabari wa Tanzania sasa na baadae kiuchumi, kisiasa, kimichezo na kiutamaduni.
Kama mjadala na mazungumzo haya yapo, naomba kuyaunga mkono, kwani ndiyo yatakayofanikisha kuleta tija kwa mstakabari wa taifa hili. Sasa hivi kinacholitesa taifa hili ni tatizo la mvutano wa kiitikadi na kivyama badala ya mvutano wa kimtazamo wenye lengo la kusukuma maendeleo ya taifa hili mbele kwa haraka.
Sidhani, mi nahisi kuna mmoja hapo analikuwa anamkopa mwenzakeAlhamisi Kwenye saa saba na robo pale Southern Sun, Iliypkuwa Holiday inn karibu na Ocean Road Zitto alikuwa na Mwamvita Makamba Zainabu Kawawa,na mwanaume mwingine sikuona sura yake labda ndio huo mtandao