Acha kuropoka wewe,We kwa mawazo yako Mgando unafikiri kila Mtu akurupuke tu humo itakuwaje,Mbowe ndo kiongozi wao hao kina Lissu kwahiyo anatakiwa awe makini sana na hoja yoyote atakayotoa lazima iwe na mshiko.Uongozi uliotukuka wa Mbowe unajidhiirisha kwenye nidhamu ya upigaji kura kwa hao Wagombea wa Chadema.Mbowe bogus alikua anatoa macho tu kazi aliyokua anaifanya lissu ni jukumu lake
Mkuu nimekupm..Angalia inbox yako
Nikupataje acha mbwembwe hizo unataka kutufanya hatujui ukubwa wa laptop kwani imekuwa kitanda kuwa huwezi tembea nayo.TV yangu iko seating room wakati laptop yangu iko chumbani. Narudi kumsikiliza.
Mbowe bogus alikua anatoa macho tu kazi aliyokua anaifanya lissu ni jukumu lake
JakathesiHakikisha umecopy na kupaste bila kukosea username na password.
Na ujaribu tena au uje ujaribu mara nyingine,sometimes inagoma hivyo lakini baadae inakubalu.
Wait a minute: Hivi ni lazima upinzani kukataa kila jambo?
Bunge la mwaka ujao sipati picha...sheria zipo kichwani na huyu mama makinda kwa umri ule sijui kama anaweza kuendana na kasi ya wabunge hawa vijana wanaojua kujenga Hoja....Mana anamwogopa Tindu mpaka anajifanya anakosea jinale eti Tundu Lisu
Acha uhuni wewe mpe..... kwa hiyo unataka kusema nini?Siyo mageni hayo mwaka 1995 Lamwai na Marando walisha yafanya hayo.Spika aliapishwa mara Tatu.
Bunge la mwaka ujao sipati picha...sheria zipo kichwani na huyu mama makinda kwa umri ule sijui kama anaweza kuendana na kasi ya wabunge hawa vijana wanaojua kujenga Hoja....Mana anamwogopa Tindu mpaka anajifanya anakosea jinale eti Tundu Lisu
Kwa mawazo yangu, Tundu Lissu amekurupuka!
Sasa koseni kutoka hapa!
- Ni kweli hakuna serikali mpaka sasa
- Ni kweli pia kamati za Bunge hazijaundwa kwa kuwa hata wabunge wanaendelea kuapishwa
- Ni kweli mama alisema hoja ijadiliwe, Mbunge mmoja akasema hakuna haja wakaiunga mkono.
Ndugu una yako hata Samuel 6, na wenyeviti wake wakati mwingine walikuwa wanatoa ufafanuzi hata siku ya pili yake please punguza jazba hazijenge... tenda haki.
dah noma yani nimetune itv muda nna bahati kweli nikaanza na Mnyika.Guys are confident and flowing with vigour.
Hapa kazi ipo!..I am starting to love this Tundu Lisu guy!
Mh ssita nae yuko na werema kwa wanavyoonekana wanajadili hoja ya lissu