Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.

Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.

Naomba kuisha hapa.

Wala hajakosea sana. Dellilah wa bibilia alishikishwa chapaa(mshiko) wa kutakata na wale Wafilisti nae Mshumbusi kama kashikishwa mshiko wa kutosha kujenga hayo mashule na mahospitali kama alivyokiri na kama alimwonyesha mchumba wake nae akashawishika na kwa kuwa ni dhaifu kwa yule mama akakubali kuyasaliti makubaliano ya ukawa ndio maana tumemwacha na mchumba wake pembeni sie tunaendeleza mapambano. Awe mwangalifu kama mshiko anao mama asije akaanza kulia lia baadae.
 
Tangia mwanzo nimekuwa na msimamo kama wa Mnyika na Ben Saanane.Mwanachadema anayesimama na kumtusi Dr Slaa ni mpumbavu kuliko kawaida.Dr Slaa aachwe apumzike maana hata maneno yake dhidi ya chama hayawezi kufuta uzuri alioifanyia CHADEMA.Dr Slaa deserves respect.
cc Yericko,Salary Slip and Lissu.
 
Mchango wa Dr. Slaa kwenye mageuzi na kuijenga chadema ni mkubwa sana

Lakini kama ilivyoonekana kwa Kambona Vs. Nyerere, tofauti za vision zinapotokea lazima mmoja apishe, na kwa bahati mbaya hii ni zamu ya Slaa kupisha,

Bahati mbaya zaidi ni pale Delila anapokua katikati ya great man na his vision, Dr. ended up getting a blurred vision, mwishowe akafeli
 
Dr. Slaa ana mchango mkubwa sana na chadema.....huwezi kuitaja chadema bila Dr. hivyo kumkashifu na kumtusi ni upeo mdogo.....tuongozwe zaidi na busara kuliko mihemuko..kutofautiana na kutokukubaliana katika jamii ni kawaida so tuche tabia za kumsifia mtu anapokuwa upande wetu akitoka ghafla anakuwa mbaya!!!!!!
 
CDM inasonga mbele bila Dr. lakini pia ni ukweli kwamba viongozi wengi wakuu wa CDM hawakuingia kichwa kichwa kwenye kumdhalilisha Dr. Wanauthamini mchango wake hata kama wamepishana njia ya kufuata. Shida kuu ni kwa wapambe ndani na nje ya chama. Alipokaa kimya shida alipozungumza balaa.
 
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA

Big Up. Hii ndio FISIEM niijuayo mimi.
 
Attachments

  • HIIKALISANA.jpg
    HIIKALISANA.jpg
    19.1 KB · Views: 200
Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.

Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.

Naomba kuisha hapa.
Yaani Samson ni CHADEMA, Delillah ni Lowassa na nywele za Samson ni MAADILI YALIYOFANYA CHADEMA IKAWA CHADEMA!
"NCHI ZINGINE ZINA 'MAFIA', LAKINI TANZANIA 'MAFIA' WANA NCHI"
....................................... DR. SLAA FAKE?
 
Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.

Hapa ndipo mimi nashindwa kuelewa kabisa, Lowasa hajawahi kufanya shughuli nyingine toka ujana wake mbali na siasa na uongozi katika chama na serkali ya CCM. Huyu ni zao kamilifu la CCM kusema leo Lowassa ni fisadi papa katika umri alio nao ni kuthibitisha kuwa CCM ni mtambo maalum wa kuzalisha mafisadi na ufisadi. CCM basi ndio mtuhumiwa no 1 wa huo ufisadi maana ndio kiwanda. Huwezi kuwa CCM ukawa na authority yoyote ya kukemea au kuusema ufisadi maana umekanyaga katika territory ya ufisadi. Kama Lowasa ni fisadi papa je huko alikozaliwa na kulelewa tupaiteje?

Angalau basi Lowasa fisadi papa amejitambua akatoka ndani ya hicho kiwanda kilichomtengeza. Sasa yuko nje ya hicho kiwanda, lakini waliomo wanaendelea kuchongwa na kuandaliwa ili wawe mafisadi!! Kumtukuna Lowasa kwa ufisadi ni kuitukana CCM maana Lowasa ni mtoto wa CCM. Hata mzee Mwinyi alithibitisha siku ya uzinduzi wa kampeini za CCM Jangwani kuwa hawa ni watu wetu kabisa. Sasa kama Lowasaa ni mbovu mfumo uliomtengeneza ni mbovu, CCM ni mbovu kwa nini kuing'ang'ania?

Na hapa Watanzania wengi tunaposikia kelele za wana CCM juu ya ufisadi wa lOWASSA mlioshindwa kuusema kwa miaka yote ndipo tunaona unafiki mkubwa na kusema basi kumbe kuna haja ya kufanya MABADILIKO
 
Inawezekana una matatizo ya kumbukumbu hivyo sintokulaumu moja kwa moja kwa kudai kuwa CCM haijawahi kumuita LOWASSA fisadi,,nadhani huna kumbukumbu kabisa ya maneno ya Mwalimu Nyerere ya mwaka 1995 ndani ya Halmashauri kuu ya CCM..achilia mbali maneno ya NAPE aliyopita kuyasema nchi nzima for past 4 years.
 
Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.

Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.

Naomba kuisha hapa.

unaishia hapo source ipo wap?...shida ya CCM la saba mpo wengi hata kanuni za kutoa habari hamjui...!!! umekurupuka haraka haraka kutoa habari ya kubumba
 
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA
wewe ndio akili yako ovyo kabisa. kama huwezi kuona kama chadema imeuzwa na mbowe ndio maana mkapa kawaita ile mameno 'wapumbavu'. hata bei gani cdm imeuzwa sio siri. unazi wenu labda ni ukabila udini..haieleweki!
 
Back
Top Bottom