Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango Chadema.Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila...naomba kuisha hapa

Weka ushahidi hapa sio kuropoka tu.
 
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA
 
mnyika amemtetea vikali dr.slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango chadema. Mnyika anasema dr.slaa anao mchango wake na yaliyomkuta mambo kama yaliyowahi kumkuta samsoni kwa delila.

Naomba kuisha hapa.


asante kamanda mnyika kwa kuwa mkweli
asante sana jk kwa kujibu swali la tundu lisu hadharani kuhusu mr richmond..ni nani dr slaa ni icon.... ''kusema uongo ni dhambi''
 
Back
Top Bottom