Mnyika amshambulia Zitto mtandaoni, Vita yao sasa ni zaidi ya Siasa

Mnyika anaanza kuweweseka, nashangazwa pia kutaka kwake kwenda mahakamani wakati Chadema hawana imani na mahakama zetu.

Kuna mahakama nasikia inataka kufunguliwa na Tundu Lisu ndio mtu pekee wa Sheria wanayemuamini.
 
Kama unafuatilia Bunge, then huwezi kusema Mnyika hajaelimika unless wewe ni chizi !.

Ukimchukua mtu ambaye hana idea kabisa na elimu ya Mnyika halafu akafuatilia Bunge, elimu atakayomkadiria Mnyika ni Masters !. Huo ndio Ukweli na ndio maana sisi wengine na elimu zetu kubwa kweli tulimpa Mnyika kura zetu na tutamrudisha tena bungeni kwa kishindo 2015.....

Mtamrudisha kwa njia gani mkuu, Viti Maalum au..? Maana kwa Ubungo msahau.
 
Acha kukurupuka, kabla sijamjibu huyo mtu niliishasoma hapo pia ndio maana ya kuona maneno hayo

Kwa hiyo wewe unasoma maneno ya Zitto kisha unayachukua unakuja kuyaandika hapa kwenye thread...we ni message conveyor au..?
 
mkuu wanadai mnyika sio wa level ya ubongo tena ni mbunge wa kitaifa na anachaja mbuga huku serenget kanda ya ziwa anajenga chama . Swali je hiyo ndio kazi tuliyomtuma?

njoo mchukue zigo lenu '' mnyika'' huku kanda ya ziwa nasikia limeshindwa kutoka

; mbowe anamfuata lini tunampa siku tano awe kaondoka na zigo lake awapelekee watu wa ubungo

ingebaki kidogo apigwe mawe b.l.a.h. Full
 
Katika maandishi yangu nimeweka wazi kwamba nilichosema sio kwamba ndio kilichotokea kwa hiyo usiniwekee maneno mdomoni as if nilichoandika ndicho nilichomaanisha kwamba ni ukweli....

1. Nimesema kwamba Mnyika kujua ukweli ni rahisi sana !. Ni kumpigia huyo mzee wa familia na kuwapigia majira na hapo ataweza kuupata ushahidi hata kama ni circumstancial......Hicho ndicho nilichomaanisha

2. Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Bongo tangu nilipoanza kura kwa mara ya kwanza 1995 na ninajua kwamba integrity ya Mnyika imepita ya Zitto by far !. Siamini Mnyika angeweza kumtaja Zitto kama kusingekuwa na connection...sina maana kwamba nina uhakika kwa 100% lakini naipa kama 95% kutokana na integrity ya Mnyika kwangu...Vile vile kwa kutumia common sense tu, msemaji wa familia ya mwalimu hawezi kuliambia gazeti hivyo hata kama ingekuwa kweli.....haimake sense yeyote kwamba yeye ametamka maneno hayo tena mbele ya hao hao waliosemwa na mbele ya mwandishi wa habari !.

3.Unajifanya kwamba wewe hutoi madai bila kuwa na facts lakini hapo kwenye red umetoa shutuma kubwa kwa Mnyika bila ushahidi wowote !. Hebu eleza basi alimobilize vipi ?!. Ninajua hauna ushahidi kwani Mnyika hajafanya kitu kama hicho ila umeamua kumpaka kijumla jumla tu huku ukijifanya mtu wa kuongea kwa facts.... Hata mwanza walimsingizia kwamba alisema adui namba moja wa CDM ni Zitto na gazeti la Mtanzania likaandika hivyo, lakini ukisikiliza audio ya Mnyika hakuna kitu kama hicho....
Nakujibu in numbers kama ulivoandika
1.Sasa kulikuwa na umuhimu gani wa Mnyika kuandika alichoandika kabla ya kufanya hicho unachokiita anaweza kufanya,ange fanya kwanza hakukuwa na haja ya kustir public debate yeyote
2.Hapo umeonyesha mahaba tu koz kigezo kipi umetumia kusema intergrity ya Mnyika ni kubwa kuliko ya Zitto,ni sawa na mimi nikisema tu Intergrity ya ZZK ni kubwa kuliko ya Mnyika nimekuwa nikiamini hivo for years na itabaki hivo.so katika kusapoti japo fact huwa haitolewi kwa staili uliyotumia wewe.
3.Laumu vyombo vya habari vya nchi hii sio mimi,Gazeti la mtanzania la siku husika waliripoti hilo,sasa mimi mtanzania nisiye na uwezo kuwa kufika eneo husika nitafanyaje? either nisikie Mnyika Mwenyewe akanushe(hakufanya hivo) ila alikanusha ya kusema adui wa chadema ni ZZK au Pengine nisikie Gazeti husika likanushe(nalo halijafanya hivo hadi sasa) ulitaka mi niseme ti sio kweli kwa misingi ipi?
 
Wew kweli kilaza kama.. MNYIKA'wako tuliokuwepo tulisikia ,kwenye audio imesikika . Waandishi wa habari waliokuwepo habari ikatoka mtanzania . We unafikiri mnyika akama hakusema hayo angekuwa kimya na hilo gazet..hata kama unamahaba na mnyika sio kwa kiwango Kama cha kwako cha kujitoa ufaham hivo

Mtakuja Mapakacha wote na Matapakachuluwa mpaka mwende huko Lindi Kupakachuka..!!

Sasa wewe Pakacha bovu, Mnyika hakukanusha hapa kuhusiana na hiyo habari iliyoandikwa na Mtanzania? Uzi wa kwanza ulifungwa, mkafungua uzi wa pili ambao mpaka leo upo ukiwa na Audio ambayo kwa makusudi yenu mmekuwa mkiipotosha hapa na kuda Mnyika alisema Zitto ndiye adui wa Chadema namba moja.

Kinachosikika kwenye Audio hiyo ni Mnyika akisema "Ccm ndiye adui yetu", na Rafiki wa adui yetu... hapo kabla hajamalizia wananchi wanasikika wakisema Zittoooo"..!!!!!

Hivi kwa akili za Kipakacha hapo ni Mnyika ndiye aliyesema Zitto?

Kwa hakika kwa mtu ambaye ni GT anajua wazi kuwa Mnyika alikuwa akitaka kuhitimiisha ule msemo maarufu uliotapakaa duniani kote kwamba "Rafiki wa adui yangu ni Adui yangu" Na Adui wa Adui yangu ni Rafiki yangu"...!!!

Sasa ninyi mapakacha mnaacha kupakachuka huko Lindi mnapakachukia hapa Jf bila mpango... Na mtapakachuka sana hapa, Mapakacha wazoefu nyie..!!!

BACK TANGANYIKA
 
huu ndio mkakati wa ZZK kutafuta kiki. walianza mwanza wakasema mnyika awazuia watu wasije katika mkutano wao.

sasa unaweza kujiuliza hivi JJ anaweza kuwakataza wanachama wa CCM wasiende kwenye mikutano ya mwezao zzk?

hizi ndizo siasa chafu za ACT -Wasaliti. w
 
Kwa nini usiwe mwisho wa Zitto aliyekimbia jimbo lake sasa anaweweseka hajui aende wapi. Hizo hela za ccm zinazompa jeuri zitamponza na atabaki hewani maana ccm watamtupa kama ganda la muwa wakishtumia.

Hapa ndipo ambapo nasemaga kuwa Chadema wote hawana akili, hamuwezi kuendelea mpaka leo kujiaminisha propaganda kuwa Zitto anapewa fedha na CCM, ni ujinga acheni uboya.
 
huu ndio mkakati wa ZZK kutafuta kiki. walianza mwanza wakasema mnyika awazuia watu wasije katika mkutano wao.

sasa unaweza kujiuliza hivi JJ anaweza kuwakataza wanachama wa CCM wasiende kwenye mikutano ya mwezao zzk?

hizi ndizo siasa chafu za ACT -Wasaliti. w
Hayo hatukuyaona wala hayana ushahidi..labda ututhibitishie kuwa Zitto alisema hayo, kama hakuna ushahidi itakuwa hauna tofauti na Mnyika anayepayuka hovyo.
 
Zitto ni punguani tangu lini amekuwa msemaji wa ukoo wa nyerere?kwamba mnyika kauambia ukoo wa mwl nyerere usimpokee zzk?ili iwe nini mbona hatujasikia chief ambaye ni msemaji wa ukoo akisema hivyo

ebu jarb kuipitia kw upya hii habar Ndug yang maana naona pov linakutoka tu paspo sabab
 
Tutamrudisha kwa njia ile ile tuliyomkabidhi Ubunge kwa mara ya kwanza !. Kwanza kwa kumpigia kura pili kwa kuzilinda !.

Safari hii atashinda kwa kishindo kupita alivyoshinda 2010...

Mtamrudisha kwa njia gani mkuu, Viti Maalum au..? Maana kwa Ubungo msahau.
 
Soma kichwa cha thread, rudi kwenye mada
Kwa nilivyochangia unahisi nimesoma kichwa cha habari tofauti au..? Maana comments zangu zinajielekeza sawa kabisa na kichwa cha habari cha mada husika...ile thread ya Dr Slaa kurudi kutoka marekani na mwarobaini wa kuiua CCM sijachangia mkuu, maana sijawa mwendawazimu kiasi hicho cha kuchangia thread za kijinga.
 
Kwa nilivyochangia unahisi nimesoma kichwa cha habari tofauti au..? Maana comments zangu zinajielekeza sawa kabisa na kichwa cha habari cha mada husika...ile thread ya Dr Slaa kurudi kutoka marekani na mwarobaini wa kuiua CCM sijachangia mkuu, maana sijawa mwendawazimu kiasi hicho cha kuchangia thread za kijinga.

Nimekuelewa sana mkuu, heshima kwako
 
Mnyika jimbo la Ubungo limemshinda, maji hamna, barabara mbovu, ujambazi umekithiri Kimara na Mbezi, Wana Ubungo tumemchoka hatumtaki akagombee kwao upareni
majimbo ya Dar yote ni nagumu kwa vyama vya upinzani. Hata aje ZZK jimbo la ubungo hataliweza. Lakini kwa mtazamo mwingine, katika nchi ya Tanzania maeneo yote yanayoongozwa na upinza yana shida sana na sababu ni kwamba vyama vya upinzani havina mamlaka ya kukusanya na kutumia kodi kwa shughuli za maendeleo zilizoainishwa kwenye budget. Sasa unataka Mnyika atoe wapi maji???
 
Back
Top Bottom