Nikitarajia uwaulize watawala kwasababu wao ndiyo wanapanga jinsi ya kutumia kodi zetu kwa miradi ya maendeleo. Hakuna taabu subiri 2015 tutakapo wapiga chini,Mnyika atawapatia wananchi wa Ubungo maji!Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.