Mnyika aanika uongo wa ofisi ya Waziri Mkuu

Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.
 
Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.

Kwa nini usimuulize hilo swali Prof Maghembe- waziri wa maji ambaye leo hii alikuwa Mpanda akitamba jinsi alivyoshusha bei ya maji? Waziri wa maji katelekeza ofisi sasa anapiga propaganda na Nape! Na hapo mtalaumu wapinzani wanawafanyia hila?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.
(
wakati nikiuliza swali la nyongeza kwa ofisi ya Waziri Mkuu kwa niaba ya walimu watumishi wa umma katika Jimbo la Ubungo na nchi kwa ujumla kuwa)

Tatizo la maboc wako Ritz wanakulipa kwa idadi ya post ulizochangia,na si umechangia nini!
 
Ritz mbona huzungumzii meli aliyoahidi mzee mwanza na kuifanya kigoma kuwa dubai..au umesahau
 
Serikali yenye PM wango haiwezi kutatua kero z wannchi. Bora Mheshimiwa Myika aanzie hapo. Usiwe na mtizamo finyu!!
 
Tatizo la maboc wako Ritz wanakulipa kwa idadi ya post ulizochangia,na si umechangia nini!

Kocha akisajili beki wakati mahitaji ya timu ni mshambuliaji ujue asiyejua ni kocha na sio mchezaji

Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.[/QUOTE
Wakazi wa Msewe wameanza kufurahia maji hivi karibuni baada ya jitihada kubwa za Mh. Mnyika. Awali Wajumbe wa CCM ndio walikuwa kikwazo kikubwa katika utekelezaji wa mradi huo
 
Kwa nini usimuulize hilo swali Prof Maghembe- waziri wa maji ambaye leo hii alikuwa Mpanda akitamba jinsi alivyoshusha bei ya maji? Waziri wa maji katelekeza ofisi sasa anapiga propaganda na Nape! Na hapo mtalaumu wapinzani wanawafanyia hila?

Mie nimemuuliza Mnyika hayo ya waziri uliza wewe.
 
Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.
Mbunge hafungwi kuzungumzia adha zinazowapata wasio wa jimbo lake na hasa ukizingatia kama anayo kofia nyingine ya kitaifa. Mnyika anayo nafasi ya kitaifa kwenye chama chake. Kwa maana hiyo huoni tija pale wabunge wa Dar es Salaam bila kujali vyama vyao walipoungana kuwatetea wananchi wa Kigamboni waliodhalilishwa na Magufuli. Double Standard katika kutoa hoja ni kipimo cha kutambua uwezo wa mtoa hoja. Kwa maoni yangu sioni kosa la Mnyika labda kama mna ugomvi wenu.
 
Kuutangazi umma bungenia kuwa Kikwete ni dhaifu mi nadhani ni zaidi ya ahadi alizoahidi ubungo
 
Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.
we mjibu hoja za serikali, unataka Mnyika asiwasemee walimu wa jimbo la ubungo? Akili yako mbovu, na ndio maana unatumika kama kondom bila hata kujali afya yako.
 
Back
Top Bottom