Mnyama wa taifa la Bongo

Kitu nampendea mnyama huyo ni ulaji wake. Yaani vile vitu katika Hali ya kawaida siwezi Kula huku vikiwa Na vitamini Na madini hitajika mwilini, mnyama huyu anavila kisha anavikonveti kuwa nyama yake Na mie nafaudu vitamini, madini Na utamu kupitia nyama yake.

Wacha watu wakatazane Kula ili mnyama asiwe adimu. Allahu Akbar Mungu Mkubwa katuletea mnyama
 
Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"
hapana mkuu, unamjua kamongo???

Kama kwa sura kuna wanyama wameumbika vibaya aisee.
 
Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"

Acha wivu wa kike nguruwe ataliwa tuu kama vip pita hivi......
 
Hakuna nyama isiyokuwa na madhara...

Lakini Usisahau kuwa , nguruwe ana nyama nyeupe iliyo na madhara kidogo kuliko hata ng'ombe ambae ana nyama nyekundu...hata ukiwa na gaut , waweza kumla

Hivi kuna nyama gani tamu kama hii kwa maana hata kuku hagusi !!!!!!!........

Nayaheshimu mawazo ya wasiokula na hata nikiwa home ; siwezi kuinunua kama kuna mtu asieitumia
 
faida nyengine kwa mnyama huyu, jini hakanyagi alipo. beba mfupa wake upite kwa kambi ya majini ndo utajua kwel au la, so wanaofuga majini huwa ndo kama hvo kumponda huyu mnyama, mbona hamwach kuzin, kuiba hata kuua? kitimoto ndo dhambi kubwa et, hatuach kukumla!!
 
Acha wivu wa kike nguruwe ataliwa tuu kama vip pita hivi......
Sijakukataza kula huyo ndudu we kula tu kwa uroho wako,mnyama anakula hadi nyoka we unaelewa nini?jiongeze nyumbu wewe
 
mimi na nguruwe, nguruwe na mimi, naahidi sitaacha kutumia nyama yako tamu, laini, mafuta yako hayagandi mwilini, ladhwa haswaaaaaaaaaaa
 
Mkuu Mzizi acha utani hao bacteria wanashabulia fasta kitimoto sababu ya utamu wake....we ulikuwa hujui hilo? Halafu huko uliko lazima utakuwa ushakula hii kitu kwa bahati mbaya sema hutaki kukubali...adumu mnyama wa taifa la bongo!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom