Mnyama wa taifa la Bongo

Kwanza sijaona nyama yenye thamani kubwa au inayouzwa bei ghali zaidi ya kitimoto. Waswahili Wanasema sura sio roho. Ni kweli kitimoto ana sura mbaya ila ladha yake ni njema na yenye kutukuka sana. Ndio maana hata wale ambao wanakatazwa kwenye nyumba zao za ibada huwa tutakutana kwenye maeneo matukufu ya kula hiyo kitu. Na kwa ubora wa kipekee huwa wanatengewa eneo maalumu ili wasionekane na wanoko.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Kitu nampendea mnyama huyo ni ulaji wake. Yaani vile vitu katika Hali ya kawaida siwezi Kula huku vikiwa Na vitamini Na madini hitajika mwilini, mnyama huyu anavila kisha anavikonveti kuwa nyama yake Na mie nafaudu vitamini, madini Na utamu kupitia nyama yake.

Wacha watu wakatazane Kula ili mnyama asiwe adimu. Allahu Akbar Mungu Mkubwa katuletea mnyama
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha JamiiForums inanipa raha sana kwa comments kama hizi
 
Hakuna nyama isiyokuwa na madhara...

Lakini Usisahau kuwa , nguruwe ana nyama nyeupe iliyo na madhara kidogo kuliko hata ng'ombe ambae ana nyama nyekundu...hata ukiwa na gaut , waweza kumla

Hivi kuna nyama gani tamu kama hii kwa maana hata kuku hagusi !!!!!!!........

Nayaheshimu mawazo ya wasiokula na hata nikiwa home ; siwezi kuinunua kama kuna mtu asieitumia

We jamaa, acha kufananisha hii kitu na vitu vya kipumbavu asee. Eti ng'ombe, ooh kuku ndo vitu gani sasa.
 
Wazungu wamefikia hatua ya kutumia moyo wa Mbuzi Katoliki kupandikiza binadamu wenye matatizo ya moyo wewe unakuja na story Tandamti hapa.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha JamiiForums inanipa raha sana kwa comments kama hizi
Hivi naanzaje kuacha kula kitimoto? Natamani nikifika mbinguni nikute kuna venues za kula hiyo kitu adhimu
 
Acha ww kula mimi niache nile...!!
utamponda sana lkn jikoni ataendelea kupeta
 
Kwanza sijaona nyama yenye thamani kubwa au inayouzwa bei ghali zaidi ya kitimoto. Waswahili Wanasema sura sio roho. Ni kweli kitimoto ana sura mbaya ila ladha yake ni njema na yenye kutukuka sana. Ndio maana hata wale ambao wanakatazwa kwenye nyumba zao za ibada huwa tutakutana kwenye maeneo matukufu ya kula hiyo kitu. Na kwa ubora wa kipekee huwa wanatengewa eneo maalumu ili wasionekane na wanoko.
Hahahah, uwa kuna wanoko nin.....?
 
Nasikia Mtume baada ya kuonja kuona kitam akakataza waumini wake wasile ili afaudi peke yake!
Hili dude nitamu walah!!!!
 
View attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .

Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe

MziziMkavu;
Katika siku umeniharibia ni hii ya leo. Umenionesha kitu iloifanya roho kutaka kutoka. Hii kitu ni moto mno haitakiwi kuoneshwa hovyo. Mate yamenipalia, nkakimbilia markiti nikakuta weshamaliza kabisa. Kuuliza nkasikia waliona picha Whatsup, sijui jf sijui wapi.Mkuu, hii kitu usiombe ukute imetengenezwa kitaalam; Hapa mbavu nzima, kando Ndizi roast, hapa salad nakuambia hutaacha tena. Acheni watu wale ile kitu ya lohoooo.
Wanasema ati mbuzi nyama yake ina gaut mbona mmasai aiugue!! Ntakula mpaka Yesu arudi.
 
Back
Top Bottom