Mnyama wa taifa la Bongo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
Mbuzi wa kikatoliki.jpg
Pig.jpg
pig with snake.jpg
NGURUWE.jpg

PIG NOSE IS DANGEROUS .

Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe Aka Mbuzi wa kikatoliki.

Biblia:
Mambo ya Walawi 11 : 7-8

11.7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu
 
Hakuna mnyama anaekosa Bactria mwilini mwake akiwa hai au amekufa, afu uyo mnyama si sumu kwamba walaji watapoteza maisha pindi watapomla, ila si mbaya wanadamu tukishauliana kutendendeana mema katika pindi cha uhai wetu.
 
Back
Top Bottom