Maxishimba tuwekee hapa na ile noti ya kijani ya shilingi kumi, ile ya urafiki textile ya bluu ya shilingi ishirini na shilingi mia moja nyekundu alizoondoa mwinyi mwaka 1985!!!!!!!!
hahahahahaha, senti 5 uitumie wapi wakati wewe ni wa 1990s?tunazikumbuka sana mie sijui nilianza kutumia hiyo senti tano hata sikumbuki vizuri
<TABLE id=table48 border=0 cellSpacing=2 width=900><TBODY><TR><TD align=middle>Maxishimba tuwekee hapa na ile noti ya kijani ya shilingi kumi, ile ya urafiki textile ya bluu ya shilingi ishirini na shilingi mia moja nyekundu alizoondoa mwinyi mwaka 1985!!!!!!!!
<TABLE id=table49 border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width=900><TBODY><TR><TD><TABLE id=table48 border=0 cellSpacing=2 width=900><TBODY><TR><TD align=middle>Thanks. Kama unaweza kuleta zile coin za matundu ingekuwa kumbukumbu nzuri kwa sababu wengine hawajui kama zilikuwa hizo pia. Na noti ya Shs. 5.-
Good work.