Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Dar wanatuangusha sana
Tusubiri atangazwe kamanda Mpendazoe ili network iimarike labda ndipo Dsm wataamka na kuwa kama Mby,Songea,Mwnz na Ar.
Dar wanatuangusha sana
Nimeona hii picha katika "kitabupicha" cha Ndugu Mhonga Ruhwanya inaelekea Azimio la Arusha ni sera ya Chadema baada ya kuachwa na Chama cha Matusi (CCM).