Mnara wa Azimio la Arusha wapambwa Bendera za Chadema

CCM hawawezi kutawala milele...kuzuia demokrasia ni sawa na kuzuia risasi kwa mikono
 
shenzi type wanachezea nguvu ya umma watajibeba..

Utaipenda hii ndio arusha bana wenzako tulishaamka kitambo wewe bado umeganda na hao magamba wenzako tz inaelekea kwenye mabadiliko sasa.nakushauri uamke sasa kumekucha
 
This has great significance than we can all contemplate at the moment ... Mungu ibariki Tanzania!!

Sisi ambao tunajua maana ya haya Maazimio na ambao tulliachiwa FUNGUO na SIRI zote ... Subiri soon!!

AZIMIO JIPYA
Likitinga Mtaani!! Kama wameshafikia Kupamba hivyo ... How Long ... Not Long at all... NOTE!! Azimio Jipya!!!
 
I like it lema alisema azimio la arusha lilianza ar na m4c imeanza ar big up cdm 2po nyuma yenu Mungu ibarik cdm na wa2 wake amen
 
Nimeona hii picha katika "kitabupicha" cha Ndugu Mhonga Ruhwanya inaelekea Azimio la Arusha ni sera ya Chadema baada ya kuachwa na Chama cha Matusi (CCM).

Kudadekiiiii sisiem wataishia kunawa na kula hawali tena!

Kila jambo na wakati wake!

Crashwise!
Uko wapi? Hebu weka ile thread yako hapa."TUMEANZISHA OPERESHENI YA ZIKA ccm FUFUA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO" hebu bonyezea hapa leo!

Mpk kielewekeeeeeeeeeee!!
 
Utaipenda hii ndio arusha bana wenzako tulishaamka kitambo wewe bado umeganda na hao magamba wenzako tz inaelekea kwenye mabadiliko sasa.nakushauri uamke sasa kumekucha

Dar wanatuangusha sana
 
Utaipenda hii ndio arusha bana wenzako tulishaamka kitambo wewe bado umeganda na hao magamba wenzako tz inaelekea kwenye mabadiliko sasa.nakushauri uamke sasa kumekucha

Na wewe mbona una hasira hivyo, hata haujamuelewa mwenzio, mbona pamoja sana, ebu rudi usome alichochangia hapa, halafu umwombe msamaha.
 
Kudadekiiiii sisiem wataishia kunawa na kula hawali tena!

Kila jambo na wakati wake!

Crashwise!
Uko wapi? Hebu weka ile thread yako hapa."TUMEANZISHA OPERESHENI YA ZIKA ccm FUFUA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO" hebu bonyezea hapa leo!

Mpk kielewekeeeeeeeeeee!!

Kamanda hatufufui CHADEMA kwakuwa haijafa bali tunaiimarisha wenyewe kwa M4C. Pipooozzz.....Pawaaaa
 
Back
Top Bottom