Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,163
Hello Wana JF,
Habari zenu,
Niko na Shida Wakulungwa natumaini nitapewa ushauri chanya wenye faida,
Iko hivi nipo kituo fulani nafanya kazi ya umma,ila leo kumeibuka zogo hapa na boss wangu sio muajiri hapana,ni kiongozi wa kituo nilichopo.
Kuna kisima ambacho kinatupush kwa huduma ya maji haya maeneo kutokana na miundombinu ya maji ya bombani kuchakaa na kupelekea kusuasua kwa huduma hiyo
Leo bhana mchana akaleta Tangazo lake,likiwa na ukomo wa kuchota maji kuwa ni saa kumi jioni,Ilipofika majira ya saa tisa na 30 hivi,nikawasha pikipiki yangu nikapeleka dumu 5 za maji maghetoni,ile narudia anambia muda umeisha hauruhusiwi kuendelea kuchota maji,sikutaka nibishane nae nikarudi na madumu tupu hadi home!
Nimeongea kwa ufupi ila kupitia komenti nitafafanunua zaidi kama italazimika...Huyu Mzee Ku*m_ sana ana miaka kama 50 ila hajielewi nawaza nimshatki au maana kanidhalirisha mbele ya jamii.
KARIBUNI
UPDATES
Nimefika job tu nikamuomba msaidizi wa boss,amjulishe ya kuwa kuna kikao cha dharura,hatimaye kikao kimefanyika vyema na kimedumu kwa masaa mawili kuanzia saa 2 asubuhi hadi sasa ndo tunamwagikana.
Inshort amekiri makosa na nimefurahishwa sana na wafanyakazi wenzangu kwa kuwa nami na wao kupata mda wa kueleza ya kwao ya moyoni...
Aisee kuna wenzangu wanasema wangekuwa wao ingekua kasheshe na maji wangechota au wangevaana.