Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi
 
Kweli mimi nilikuwa simjui kabisa profile yake, duuuuh kama ni hivyo kuna haja kubwa sana kuepuka sifa za kijinga.
 
Labda utajiri wa uganga na majini. Ndio huishiaga hivo.

Akuna Majini wala Tunguli awa huwa wanaingia Mjini kwa pupa alafu wanjifanya Born Town wapo wengi tu.Kuna Bob Edga alikimbia Dar,wapi Jacky Pemba?Ndama ndio hivyo tena ana kesi,Muzamil Katunzi ..yaani hawa wote ni malimbukeni tu,na ushamba ndo unawalostisha
 
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi

Nilishashawahi kuanzisha thread hapa nikasema hivi: Kuna wafanyabiashara wachache sana Bongo ambao biashara zao zinainuka kwa sababu ambazo ni za uendeshaji wa kibiashara. Kwa mfano, mjomba wangu akiwa transport officer mahali na kapewa uwezo wa kuchagua ni gereji gani magari ya mahali anapofanyia kazi yakafanyiwe matengenezo na mimi ikatokea nina gereji na akanipa kwa ujomba, nitainuka ghafla kibiashara. lakini huko kuinuka kwangu kutaendelea tu iwapo mjomba atabaki madarakani. The moment anatolewa na mimi nitaanguka.

Kwa wana JF mnaofanya biashara jitahidini kutoegemeza biashara zenu na network za kiuongozi badala ya kufanya biashara kwa kufuatana na kanuni za masoko. Haingii akilini mtu uwe na tenda na kusafirisha abiria/vifaa halafu uwe dereva, muda wa kusimamia kazi zako binafsi utaupata wapi? Ndio maana jamaa hasikiki tena. Modeli ya biashara yake (iliyomfanya anyanyuke na kujulikana) haikuwa "sustainable".
 
Miaka mingi huyu jamaa ni dereva pale wizara ya kilimo,hata kipindi mambo ya biashara yako safi jamaa bado alikua anapiga mzigo pale kilimo akimaliza kazi ndo anaenda kujirusha!sio kweli eti kawa dereva sasa hivi wa Tamisemi,na pia anaishi Segerea Dar japo Dodoma ndo asili ya kwao!
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi
 
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi

vipi kesi yake ya ujambazi?
 
Wewe utavalishwa kangs mjini wewe umeadithiwa wala humjui vizuri!acha kuwa mnafiki kwamaneno yakimbea unaleta humu ungeuliza basikama ulihitajikujua wajii wake siyo kukurupuka na risled lakichonganishi!Nakujulisha kama ulikuwa humjui"Fikiri Madinda kabila ni Mgogo wa Dodoma,
Fikiri Madinda nimtumishi wa serikali tangu 1992,
Fikiri Madinda ni Driver wizara ya kilimo,
Fikiri Madinda anakakayake pale wizarani ni driver pia,
Fikiri Madinda nirafiki yake Ali choki na walianzisha bend pamoja ya extra music,
Fikiri Madinda alikuwa anaishi na Aisha Madinda mnenguaji wa twanga pale Sinza madukani,
Fikiri Madinda kwa sasa anafanya kazi wizara ya ushirika pale Waterfront house!Sasa wewe unasema Tamisemi dodoma waoinawapi??
Fikiri Madinda ajafulia kilichofanyika waligawana share nakila mmoja akawa mipango yake kimaisha yote niliyokwambia ndo yalivyo!!
Fikiri Madinda hakuwai kuishi Dodoma kama unavyosema anakaa mnadani ni uongo.
 
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi
 
Acha ushamba,alafu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua... Ni deteva tangu miaka ya nyuma kabla hata hajaanza kumiliki band na mpaka anamiliki band alikua bado dereva. Na sio kwamba amefulia,na wala haishi mnadani. Yeye ni mtu wa dodoma na kwao ni dodoma so ukimuona maeneo yupo kwao. Wewe toka umfahamu Fikiri,je umefikia alipo saiv ambapo unasema kafuria??? Kazana kupambana kijana... Maisha kutafuta sio kutafutana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom