Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

Acha ushamba,alafu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua... Ni deteva tangu miaka ya nyuma kabla hata hajaanza kumiliki band na mpaka anamiliki band alikua bado dereva. Na sio kwamba amefulia,na wala haishi mnadani. Yeye ni mtu wa dodoma na kwao ni dodoma so ukimuona maeneo yupo kwao. Wewe toka umfahamu Fikiri,je umefikia alipo saiv ambapo unasema kafuria??? Kazana kupambana kijana... Maisha kutafuta sio kutafutana.
umeamua kujisajiri fasta ili ujitetee karibu jf mkuu
 
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi
Kufulia ni moja ya mitihani au sehemu ya maisha, sidhani ni jambo la kushangiilia haya ni maisha tu, hata wewe siku moja unaweza kosa hata hako ka smartphone kanachokufanya uingilie JF, tuheshimu maisha ya wengine, afadhali yeye alijaribu japo kutoa ajira kwa madereva 10 na konda 10, wakasomesha na kulisha familia zao, vipi wewe ushajaribu hata hilo??? kati ya hao staff wake wako walojenga kupitia yeye na sasa wanaishi kwa Amani, angalia yeye ana watu hawatamsahau kwa njia moja au nyengine katika kuwakomboa, KAMA ANGEKUWA YUKO DODOMA NI JAMBAZA HAPO TUNGEWEZA KUPONDA, Lakin anafanya kazi apate kipato cha halali tatizo liko wapi??
 
Wewe utavalishwa kangs mjini wewe umeadithiwa wala humjui vizuri!acha kuwa mnafiki kwamaneno yakimbea unaleta humu ungeuliza basikama ulihitajikujua wajii wake siyo kukurupuka na risled lakichonganishi!Nakujulisha kama ulikuwa humjui"Fikiri Madinda kabila ni Mgogo wa Dodoma,
Fikiri Madinda nimtumishi wa serikali tangu 1992,
Fikiri Madinda ni Driver wizara ya kilimo,
Fikiri Madinda anakakayake pale wizarani ni driver pia,
Fikiri Madinda nirafiki yake Ali choki na walianzisha bend pamoja ya extra music,
Fikiri Madinda alikuwa anaishi na Aisha Madinda mnenguaji wa twanga pale Sinza madukani,
Fikiri Madinda kwa sasa anafanya kazi wizara ya ushirika pale Waterfront house!Sasa wewe unasema Tamisemi dodoma waoinawapi??
Fikiri Madinda ajafulia kilichofanyika waligawana share nakila mmoja akawa mipango yake kimaisha yote niliyokwambia ndo yalivyo!!
Fikiri Madinda hakuwai kuishi Dodoma kama unavyosema anakaa mnadani ni uongo.
.........kuongezea tu huyo kaka yake anaitwa Tumaini. Baba yao pia mzee Madinda alikuwa dereva kilimo

Mleta uzi anaonekana ana chuki binafsi
 
Acha ushamba,alafu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua... Ni deteva tangu miaka ya nyuma kabla hata hajaanza kumiliki band na mpaka anamiliki band alikua bado dereva. Na sio kwamba amefulia,na wala haishi mnadani. Yeye ni mtu wa dodoma na kwao ni dodoma so ukimuona maeneo yupo kwao. Wewe toka umfahamu Fikiri,je umefikia alipo saiv ambapo unasema kafuria??? Kazana kupambana kijana... Maisha kutafuta sio kutafutana.
Mwanamme ukiwa mnafiki na tabia za kike ni tatizo kubwa fahamu kupanda kimaisha na kushuka ni makadirio ya Mwenyezimungu hakuna ajue siku ya kufanikiwa na siku ya kuishiwa.tembea ujifunze
 
Kwa kiwa ni mwana gamilia ndio umeweza kutolea maelezo ishu ya nduguyo tunashukuru sana maana hapa kila.mtu angelibeba hili suala na kwenda kulizungumzia kama vile anamjua muhusika kuliko snavyojijua jamani tusipende kufuatilia mambo ya watu tuwaonao tu kws luninga na tuwasikiao maredioni
 
.........kuongezea tu huyo kaka yake anaitwa Tumaini. Baba yao pia mzee Madinda alikuwa dereva kilimo

Mleta uzi anaonekana ana chuki binafsi
Mtu baki humuji vizuri unajifanya unamjua,,,usimfaham mtu kwa stori su kwa kumuona nje kwa macho... Yupo kilimo miaka kibao na ndo kazi yake udereva. Biashara zingine ni za nje tofauti na hyo kaxi. Alaf wewe unae sema kafulia em angalia ulipo ww na kama kweli unamfaham vizuri angalia slipo yeye,je umesha pafimia??? Komaa na maisha acha kufatilia maisha ya watu.
 
umeamua kujisajiri fasta ili ujitetee karibu jf mkuu
umeamua kujisajiri fasta ili ujitetee karibu jf mkuu
Npo humu kitambo,hii ni accnt nyingne. Na sijaja kujitetea wala kumtetea,nawachana tu... Maisha kutafuta sio kutafutana,komaa utoboe
Mwanamme ukiwa mnafiki na tabia za kike ni tatizo kubwa fahamu kupanda kimaisha na kushuka ni makadirio ya Mwenyezimungu hakuna ajue siku ya kufanikiwa na siku ya kuishiwa.tembea ujifunze
Ndio,wakaushe kuongelea maisha ya watu....
 
Npo humu kitambo,hii ni accnt nyingne. Na sijaja kujitetea wala kumtetea,nawachana tu... Maisha kutafuta sio kutafutana,komaa utoboe
Ndio,wakaushe kuongelea maisha ya watu....
Nadhani tunakosea tunapoangali jambo kwa mtizamo hasi. Maisha ni kupanda na kushuka na wanasema barabara mrefu haikosi kona. Ndugu yangu sijaona kosa la mleta uzi. Ingawa ni wa mwaka mitano iliyopita. Kila jambo linatendeka ili liwe funzo kwa wengine. Huu uzi unatufundisha kuwa waangalifu katika maisha yaani KUWEKEZA. Ni vyema zikikutembelea ujue kuna siku zitakuchoka na kumtembelea mwingine. Tujaribu kila wakati kujifunza baadala ya kuhamaki.
 
Acha ushamba,alafu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua... Ni deteva tangu miaka ya nyuma kabla hata hajaanza kumiliki band na mpaka anamiliki band alikua bado dereva. Na sio kwamba amefulia,na wala haishi mnadani. Yeye ni mtu wa dodoma na kwao ni dodoma so ukimuona maeneo yupo kwao. Wewe toka umfahamu Fikiri,je umefikia alipo saiv ambapo unasema kafuria??? Kazana kupambana kijana... Maisha kutafuta sio kutafutana.

Aaaah braza umekasirika kinoma, yaan vijana wawe na respect wanapotaja jina lako japo ni kweli umefulia
 
Wewe utavalishwa kangs mjini wewe umeadithiwa wala humjui vizuri!acha kuwa mnafiki kwamaneno yakimbea unaleta humu ungeuliza basikama ulihitajikujua wajii wake siyo kukurupuka na risled lakichonganishi!Nakujulisha kama ulikuwa humjui"Fikiri Madinda kabila ni Mgogo wa Dodoma,
Fikiri Madinda nimtumishi wa serikali tangu 1992,
Fikiri Madinda ni Driver wizara ya kilimo,
Fikiri Madinda anakakayake pale wizarani ni driver pia,
Fikiri Madinda nirafiki yake Ali choki na walianzisha bend pamoja ya extra music,
Fikiri Madinda alikuwa anaishi na Aisha Madinda mnenguaji wa twanga pale Sinza madukani,
Fikiri Madinda kwa sasa anafanya kazi wizara ya ushirika pale Waterfront house!Sasa wewe unasema Tamisemi dodoma waoinawapi??
Fikiri Madinda ajafulia kilichofanyika waligawana share nakila mmoja akawa mipango yake kimaisha yote niliyokwambia ndo yalivyo!!
Fikiri Madinda hakuwai kuishi Dodoma kama unavyosema anakaa mnadani ni uongo.
Anajidanganya huyo hamjui huyo jamaa vizuri mara ya mwisho nimekutata na nae alikuwa anamwendesha waziri wa kilimo mwaka jana nikakuta nanae tena kwenye ndege tunaelekea china yeye alikuwa anaenda dubai
Jamaa hana shida na mtu na hana njaaa na kamwe awezi kufa njaa au kufulia coz ana watu alafu yuko kwenye system kitambo huyo jamaa hamjui
Maku huyo.
 
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi
sasa kafulia wakati ana kazi una maana gani tamisemi
 
Anajidanganya huyo hamjui huyo jamaa vizuri mara ya mwisho nimekutata na nae alikuwa anamwendesha waziri wa kilimo mwaka jana nikakuta nanae tena kwenye ndege tunaelekea china yeye alikuwa anaenda dubai
Jamaa hana shida na mtu na hana njaaa na kamwe awezi kufa njaa au kufulia coz ana watu alafu yuko kwenye system kitambo huyo jamaa hamjui
Maku huyo.
ulieleta hii topic umeshaambiwa jamaa yuko ,KWENYE SYSTEM-inabidi uelewe
 
Nilishashawahi kuanzisha thread hapa nikasema hivi: Kuna wafanyabiashara wachache sana Bongo ambao biashara zao zinainuka kwa sababu ambazo ni za uendeshaji wa kibiashara. Kwa mfano, mjomba wangu akiwa transport officer mahali na kapewa uwezo wa kuchagua ni gereji gani magari ya mahali anapofanyia kazi yakafanyiwe matengenezo na mimi ikatokea nina gereji na akanipa kwa ujomba, nitainuka ghafla kibiashara. lakini huko kuinuka kwangu kutaendelea tu iwapo mjomba atabaki madarakani. The moment anatolewa na mimi nitaanguka.

Kwa wana JF mnaofanya biashara jitahidini kutoegemeza biashara zenu na network za kiuongozi badala ya kufanya biashara kwa kufuatana na kanuni za masoko. Haingii akilini mtu uwe na tenda na kusafirisha abiria/vifaa halafu uwe dereva, muda wa kusimamia kazi zako binafsi utaupata wapi? Ndio maana jamaa hasikiki tena. Modeli ya biashara yake (iliyomfanya anyanyuke na kujulikana) haikuwa "sustainable".

well said
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom