English...................
Charminglady acha tu yaani watoto wetu wanakosa uhondo.............
Hiyo bluu hiyo acha kabisa navikumbuka mwaya
hiyo topic ya pazi anatesa kuku, ilinifanya niwaogope kuku hasa jogoo, niliamini ipo day nami nitaning'inizwa kweli! dah utoto vile tulivyokuwa tunaviwaza ni siri zetu
Ha ha ha ha,English ya std111,mr and mrs daudi,neema and musa,nilikulaga hapa bakora za kufa mtu,ilikua mwaka 1989 lol,Hilo somo ndo lilikuwa linanipaisha na kunifanya wanashule wengi wanifahamu!!