Mnakumbuka Enzi hizo?????

platozoom unakumbuka enzi hzo pale sabasaba shule ya msingi tulikuwa tunakalia mawe na vipande vya magogo? unakuta mtu anapanga mawe kama mafiga matatu afu anaweka jiwe bapa juu yake. weee ole wako ukakie!
 
Last edited by a moderator:
hiyo topic ya pazi anatesa kuku, ilinifanya niwaogope kuku hasa jogoo, niliamini ipo day nami nitaning'inizwa kweli! dah utoto vile tulivyokuwa tunaviwaza ni siri zetu
 
Huyu Arushaone ni Kikongwe! Avatar isikupofushe. Ni kibabu cha long!!! Lol...

Hivi Arushaone ana Avatar???? Kumbe nilikuwa sina habari aisee

unknown.gif
 
hiyo topic ya pazi anatesa kuku, ilinifanya niwaogope kuku hasa jogoo, niliamini ipo day nami nitaning'inizwa kweli! dah utoto vile tulivyokuwa tunaviwaza ni siri zetu

Mimi mpaka leo naogopa Kuku mbaya mbovu siwezi kumkaribia kabisa wala si jogoo peke yake tu hata jike siwezi
 
fikiri na sikiri, mandawa na manenge! hahahhahaha hadithi ya bulicheka nilikuwa nikisimuliwa na baba, naimagine kabisa kuwa kuna watu wanakaa juu na yule mfalme hui hui je??
 
Back
Top Bottom