Mmoja ya watu ambao wataiua CHADEMA ni Godbless Lema

Chadema ni ama wamruke au wafanye press kufafanua kauli za Lema zieleweke vizuri.
Lema anaweza akawa na nia nzuri lakini uwasilishaji wa hoja zake ni wa dharau kubwa na kejeli kwa wananchi wa hali ya chini

Angejipa muda asome mazingira, atulize akili azungumze constructive opinions na sio kuyoa hoja za kuwadhalilisha watu
 
Mara laana mara wanae wakiendesha boda anafukuza. Inakuwa kama kavuta bangi. Jenga hoja vizuri kwa tahadhari bila kuleta taharuki
 
Lema Kuna mission anayo, maana sio kwa kuropoka huko. Ndio maana nikawashauri CHADEMA, mwaka 2025, Arusha wamsimamishe Amani Golugwa sio Lema, Lema kaja nanmission yake ya kumaliza CHADEMA. Naona anaropoka makusudi. Mtu anakuambia alimpigia simu Kikwete, huyo sio wa kumwamini Tena.

All in all CHADEMA watoe kauli ya kupinga matamko ya Lema yasioonekane ni ya chama.
Kwani kumpigia simu kikwete kuna tatizo Gani?
 
Lema anaiua Chadema, lakini wanaohudhunika ni CCM.
LEMA anakosesha kura wagombea wa wa Chadema lakini wapiga kura wa CCM ndio wanalalamika kwa tabia hiyo ya Lema.
Hakika mwaka huu 2023 umejaa maajabu haijapata kutokea, ila wenye akili wameelewa.
Ukimsikiliza Lema haongei kwa bahati mbaya. Anachoongea na anachofanya sasa ni kufitinisha Wanachama na Chama Cha CHADEMA. Alianza na kusema waendesha Boda boda wamelaaniwa. Hivyo, hata kula zao hahitaji.

Sasa anasema wasajili line za simu wafukuzwe makwao maana hawana wanachofanya. Lakini hazungumzii wezi, mafisadi, majambazi, matapeli, malaya n.k hawa amewaacha tu wawe huru katika speech zake.

Alipewa mikakati alipotaka kurudi TZ kama ambavyo yeye mwenyewe alidokeza. Arudi ila aunge mkono juhudi ili naye ale mema ya nchi, kama wenzie

Mwaka 2025 chadema hawatakuwa na la kuzungumzia. CCM kwa sasa imemaliza kila jambo. Hakuna ufisadi, miradi inaenda poa. Wanasiasa hawatekwi. Wanafanya issues zao bila tatizo. Hivyo hakutakuwa na haja ha upinzani. Kila kitu kimeenda sawa kama ambavyo kilitakiwa.

Tunawazika Chadema. Maana hawana hoja tena. Hata suala la Katiba Mpya sasa naona anayekomaa ni Maria Sarungi tu. Wanachadema wameshasahau. Wamenyimwa hoja kwa sasa. Hata sera zao wanashindwa zitangaza. Tunakoenda hakutakuwa na hoja kabisa ya upinzani.
 
Unadhani wanachama na wafuasi wanaokitetea chama cha ccm siyo kuwa wanakipenda wala kukijua wengi wanakishabikia kusaka teuzi na fursa za maisha tuseme wako kimasilahi chadema kina wanachama Wa kupenda bila masilah na wanahuruma na RAIA mfano sisi tuliozaliwa kabla ya ccm tumeimba nyimbo za kukipamba chama cha ccm tumecheza chipukizi tumeimba falsafa za ccm kwakuweka mkono kifuani kitoto kipenzi ccm kuzaliwa 5:2:1977 lakini leo tukisema chadema ni suluhisho tunamaanisha na wala hatupendi chadema kusaka fursa sisi fursa tumejitengezea Bali tunawaandalia wajukuu mazuri katiba mpya
 
Ukimsikiliza Lema haongei kwa bahati mbaya. Anachoongea na anachofanya sasa ni kufitinisha Wanachama na Chama Cha CHADEMA. Alianza na kusema waendesha Boda boda wamelaaniwa. Hivyo, hata kula zao hahitaji.

Sasa anasema wasajili line za simu wafukuzwe makwao maana hawana wanachofanya. Lakini hazungumzii wezi, mafisadi, majambazi, matapeli, malaya n.k hawa amewaacha tu wawe huru katika speech zake.

Alipewa mikakati alipotaka kurudi TZ kama ambavyo yeye mwenyewe alidokeza. Arudi ila aunge mkono juhudi ili naye ale mema ya nchi, kama wenzie

Mwaka 2025 chadema hawatakuwa na la kuzungumzia. CCM kwa sasa imemaliza kila jambo. Hakuna ufisadi, miradi inaenda poa. Wanasiasa hawatekwi. Wanafanya issues zao bila tatizo. Hivyo hakutakuwa na haja ha upinzani. Kila kitu kimeenda sawa kama ambavyo kilitakiwa.

Tunawazika Chadema. Maana hawana hoja tena. Hata suala la Katiba Mpya sasa naona anayekomaa ni Maria Sarungi tu. Wanachadema wameshasahau. Wamenyimwa hoja kwa sasa. Hata sera zao wanashindwa zitangaza. Tunakoenda hakutakuwa na hoja kabisa ya upinzani.
Akili za bodaboda kma zako
20211006_214902.jpeg
 
Kama speech zinaua chama ccm ingekufa 2005_2020
 
Lema ameshakuwa liability kwa CHADEMA. Wasipomfunga break mapema ataleta shida kwa chama
Tatizo lenu masikini wa akili na mali mkiambiwa ukweli mnachukia badala ya kujitafakari siku chadema ikifa uwenda hata sehemu uliyozikwa Kutakuwa kumejengwa ghorofa.
 
Anaropoka sana. Jamaa anapenda sana umaarufu. Anapenda sana kuongea na kichwani hayupo smart. Ingawa yeye anadhani yupo smart. Na kuna machawa wake wanamwita Nabii.
Sijawahi kumuadmire kabisa,huwa namuona mtupu kichwani na mpenda sifa na recognition!
 
Tulieni sindano iwaingie, miaka 60 ya uhuru,umeme hakuna,maji hakuna, umaskini uliokithiri etc ndio mafanikio yenu
 
Back
Top Bottom