mmmmmmh maanko wengine? balaa 2pu

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,031
760
kuna jamaa alimtembelea dada yake ambaye alikuwa amejifungua mtoto wa kike.alipofika akapewa mpwa ili amsalimu kama desturi zetu. dada m2 mara akaenda
bafuni kuoga.mara mtoto akaanza kulia ing'eeee, ing'eeee, ing'eee .....jamaa kajitahidi kumbembeleza bila mafanikio. mara akatoa ulimi wake akaweka kwa mdomo wa kichanga. masikini kichanga cha watu bila hiana kikaanza kunyonya ulimi wa jamaa kwani kilikuwa na njaa. mara dada mtu akarudi kutoka bafuni na kukuta mtoto yuko bize kunyonya na jamaa yupo cool tu. dada m2 hakuamini anachokiona na kuanza kupiga kelele kuomba msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom