mmmhhh NDOA???

Hahahahahahahah we TF wewe
khaaaa umenichekesha kwa kweli
Jinsi ulivyosema ni kama vile ulikuwa umesimama
nje ya mlango unawahesabu wakiwa wanatoka chumbani..
laaah unajua kunichekesha kwa kweli
Ana timu ya mpira kabisa
 
Ndoa ina "theories and practices" zake. Kinadharia ndoa ni nzuri sana. Maneno kama "muoane muishi kwa amani, kwa raha na shida, kwa uzima na ugonjwa, mpaka kifo/Mungu a(ki)watenganishe....na kama mtaachana, muwachane kwa ihsani". Kauli hii ingawaje ni njema, Mungu katangulizwa mbele, lakini katika vitendo, kwanza ina mitego na ndio ikasemwa ndoa ndoana. Na kwa mfumo dume uliopo ulimwenguni, nchi nyengine kasoro kuliko nyengine, mara nyingi anayeumia, anayetupiwa mizigo, lawama ni mwanamke; ingawaje wapo wanaume nao hukiona cha moto.

Mbali ya dhamana ya matunzo na huduma za nyumba, mkijaaliwa watoto yeye ndie anaumia tangu siku ya mwanzo ya ujauzito. Sikwambii mwanamke aje kukumbana na mume mpigaji, mlevi, bahili, kicheche...Kwenye baadhi ya mila zetu bado mwanamke harithi, hana haki ya kile alichosaidia kwa hali na mali kuchuma pamoja na mumewe.

Sasa mtu akiangalia yote, unajiuliza "ndoa ya nini"? Mnaoana kwa hiyari lakini ukifika wakati wa kudai talaka iwe kindumbwebndumbwe? Kwa nini msikae tu kama panakalika mkaendelea, kama hapakaliki kila mmoja akasogea upande? Kwa nini tusibadilishe sheria zetu na kuzikubali "ndoa za makubaliano" ambapo ikiwa mmoja atavunja makubaliano hayo mwengine aaamue kukubali au kukataa kuendelea na ndoa hiyo.

Kwa kuepuka hayo, mara nyingi huwa ninawapa nasaha vijana, hasa wasichana, kabla ya kukimbilia kwenye ndoa kwanza wajitengenezee maisha yao ndio baadae ndoa. Ikifana poa isipofana, vaa lapa...nduki.
 
It is always to acknowledge a mistake pale mtu unapokuwa umemkosea mwenzi wako mfano "NAOMBA UNISAMEHE MKE WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA", au "NAOMBA UNISAMEHE MUME WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA" hii huwa inaepusha mambo mengine na kama mtu sio wale wa kuweka vinyongo ambao baadae unaweza kufanya kitu kidogo akaanza kusema "Si unakumba kosa la siku ile halafu nikakusamehe" watu wa aina hii daima sio wazuri maana anakuwa hajakusamehe anakuwekea kinyongo anasubiri siku ukifanya kosa dogo akukumbushie yale ya zamani.

...e bana we! kuna wengine hukosea wao mfululizo, na wepesi kuomba msamaha haraka haraka na kujiapiza hawatarudia tena. Kuna vituko ndoani acheni tu!

Utasamehe wee, mpaka utapotosheka na hizo lyrics za "Samahani, nisamehe, nimekosa, sitarudia tena!" ndipo akili itapokuingia unafanywa kanyabwoya.
 
Ndoa ina "theories and practices" zake. Kinadharia ndoa ni nzuri sana. Maneno kama "muoane muishi kwa amani, kwa raha na shida, kwa uzima na ugonjwa, mpaka kifo/Mungu a(ki)watenganishe....na kama mtaachana, muwachane kwa ihsani". Kauli hii ingawaje ni njema, Mungu katangulizwa mbele, lakini katika vitendo, kwanza ina mitego na ndio ikasemwa ndoa ndoana. Na kwa mfumo dume uliopo ulimwenguni, nchi nyengine kasoro kuliko nyengine, mara nyingi anayeumia, anayetupiwa mizigo, lawama ni mwanamke; ingawaje wapo wanaume nao hukiona cha moto.

Mbali ya dhamana ya matunzo na huduma za nyumba, mkijaaliwa watoto yeye ndie anaumia tangu siku ya mwanzo ya ujauzito. Sikwambii mwanamke aje kukumbana na mume mpigaji, mlevi, bahili, kicheche...Kwenye baadhi ya mila zetu bado mwanamke harithi, hana haki ya kile alichosaidia kwa hali na mali kuchuma pamoja na mumewe.

Sasa mtu akiangalia yote, unajiuliza "ndoa ya nini"? Mnaoana kwa hiyari lakini ukifika wakati wa kudai talaka iwe kindumbwebndumbwe? Kwa nini msikae tu kama panakalika mkaendelea, kama hapakaliki kila mmoja akasogea upande? Kwa nini tusibadilishe sheria zetu na kuzikubali "ndoa za makubaliano" ambapo ikiwa mmoja atavunja makubaliano hayo mwengine aaamue kukubali au kukataa kuendelea na ndoa hiyo.

Kwa kuepuka hayo, mara nyingi huwa ninawapa nasaha vijana, hasa wasichana, kabla ya kukimbilia kwenye ndoa kwanza wajitengenezee maisha yao ndio baadae ndoa. Ikifana poa isipofana, vaa lapa...nduki.
For really ur super Great Thinker
Sante sana mkuu
especial paragraph ya mwisho..
Respect...
have a blessed weekend..
 
...e bana we! kuna wengine hukosea wao mfululizo, na wepesi kuomba msamaha haraka haraka na kujiapiza hawatarudia tena. Kuna vituko ndoani acheni tu!

Utasamehe wee, mpaka utapotosheka na hizo lyrics za "Samahani, nisamehe, nimekosa, sitarudia tena!" ndipo akili itapokuingia unafanywa kanyabwoya.
Kweli kabisa mkuu
 
Hahahahahahahah lol
jinsi ulivyosema hizo samahani
ni kama wimbo wa Taifa ya ndoa..
khaa umenichekesha kwa kweli..
santeee
weekend njema
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Una kesi na mimi

Tuliza moyo mpenzi
njoo kipandee hii
Tishikane mikono tutembee
pembeni ya bahari..tusukume mchanga kwa miguu
..
jua likizama tufukuzane ufukweni ili baridi ituache..
Inategemea nani ata m tackle mwenzake kwanza
kitakacho tokea hapo tuache upepo uuchukue..
lala salama mwaaaaaaahhjhhhh
 
Dah! Klorokwin akiona hii posti anaweza kujinyonga,thanx you too mwaaaahhhhh
 
Tuliza moyo mpenzi
njoo kipandee hii
Tishikane mikono tutembee
pembeni ya bahari..tusukume mchanga kwa miguu
..
jua likizama tufukuzane ufukweni ili baridi ituache..
Inategemea nani ata m tackle mwenzake kwanza
kitakacho tokea hapo tuache upepo uuchukue..
lala salama mwaaaaaaahhjhhhh
Usisahau kufunga geti mwambie mlinzi afunge na kufuli
 
Wee unanitafuta una bahati mtetezi wangu Lizzy kalala lol
l

Haya ngoja umkasirishe yule jamaa
Wa jana tena maana mimi na wewe na lizzy
tunamuudhi sana tukiwa pamoja..

Akiendelea itabidi tumpeleke style za «G6»
 
For really ur super Great Thinker
Sante sana mkuu
especial paragraph ya mwisho..
Respect...
have a blessed weekend..
Asante sana na wewe Dada, "we all learn from each other and through experiences"
Happy weekend too na Ubarikiwa
 
Back
Top Bottom