faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
Kiukweli serikali yetu ni mbovu sana ina mana imeshindwa kabisa kujua kua izi sector mbili zinaingiliana kiutendaji wa kazi yani kila sector ina ratiba yake na zinaingiliana. Aya jkt wanataka wanataka wanafunzi waende mafunzoni tarehe 28 na vyuo vinafunguliwa tarehe 12 mwezi wa kumi ivi kiukweli ukiangalia apa kuna cooperation among the sectors definitely utajua kua hakuna sasa ndio nini kama sio kuchanganya watu ina mana wameshindwa kujadiliana kwanza ndo wakatoa habari yani wanakuja kukubaliana wakati wameshatangaza kwenye mitandao kama sio kukosesha watu amani ni nini yani wanataka kuchanganya elimu na siasa kiukweli serikali yetu inafanya vitu bila kua na mawasiliano baina ya sectors This is what we call poor cooperation and cordination among the sectors....!