Mmh UDOM jaman...

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
Kuanzishwa kwa UDOm kila mtu alifurahi lakina kwa sasa wapo watu manasema...why?..ukitaka kufahamu tabu ya kuanzishwa udom waulize wakaazi wa jaribu na chuo. Watoto wasio na baba wameongezeka,..majina yao sasa...BED SCIENCE, bed eche maan mama zao wlidanganywa majina
 
Hata huku kuna watoto wa watengeneza barabara WACHINA,wanaitwa chiichuwang,kufuuulwing,n.k.H.HYO NI Jst normal.Wakiachia Hacha wapate watoto
 
Ss cc tukawachukue hao watto? Ww soma ukimaliza sepa, ayo ni lyf stlye za wazinzi na ndio malipo yao.
 
Duuuuuuu
Hadi rahaaaaaaaaaaa


Mtoto anaitwa john economics
Joyce Telecommunication

Antony BedCom
 
Duhhhh...! Inauma sana! Hili tatizo ni kubwa katika maeneo ya vyuo. Eneo lingine lililoathika ni Changanyikeni baada ya kuwepo UDSM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom