Kama anavyosema mkeshaji hapo juu, ni transfomer mbili za tanesco zimepiga mzinga sasa issue hapa sidhani kama wana spare so tutarajie kuishi gizani for some days,dah!
Poleni mnaong'ang'ania kuishi DSM, sisi wa mikoani hayo matatizo yenu hayatuhusu kabisa. Hapa nilipo nakula kipupwe kwa kwenda mbele huku kitu cha Castle Lager kikinitumbulia mimacho. Mia
Niko Geita hapa umeme umekatika na hii hotel niliyofikia wanatumia jenereta la mchina full kelele. Ila mgodini unawaka kama kawa, huenda hawa jamaa hawalipi kodi kwenye mafuta kwani haya mamitambo makubwa hivi yanaungurumishwa na majenereta kwa kwenda mbele.
hii ya kuwa na gridi moja ambayo inaconnect nchi nzima waatalam walisha itahazarisha govt kuwa kiusalama na kimaendeleo cyo nzuri.lakini wametia pamba masikio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.