Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,456
- 872
inauma xana
Au m23?
Nguvu iliyotumika kumkamata Lema ndio inatakiwa itumike kuwakamata wahusika!Hatuhitaji usanii hapa!
Ishu ya meno ya tembo ndo isha dailutiwa ivyo.
habari haijakamilika haieleweki wapi saa ngapi nini ilikuwaje kwa nini
Tafadhali picha mliopo
pia Mods unganisheni thread hizi mbili
Tufuatilie kwa urahisi.
Nchi hii inakwenda wapi jamani
ndiyo hatuna amani tena hivi
tutafika 2015 kwa hali kama hii ilivyomnaya
sana.
Tuseme Ndovu nao issue yao Bungeni
inafutwa na Mlipuko wa Bomu Kanisani
Lema aliona mbali sana aliposema udini
pale Bungeni.
Sijui Taifa linaelekea wapi na Watanzania tumeamua kupoteza ile hali ya Amani na Utulivu.
Why ni Makanisani tu hasa Kanisa Katoliki??