Mliowahi chukua mkopo kwenye hizi taasisi za tulia na mo foundation Mtupatie ushuhuda?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,710
Wakuu nimepewa taarifa kuhusu mikopo kutoka kwene hzii taasisi Tulia foundation na Mo foundation. Nataka nijue kuna changamoto gani kwa mkopaji?

Je, siyo kausha damu?

Mkopo unalipika?

Kuna changamoto zozote ambazo zipo na hazisemwi?

NB: Nimeona matangazo yao online inaonesha wana vigezo nafuu
 
Hizo Taasisi hazijihusishi na utoaji wa mikopo … OGOPA MATAPELI

IMG_2115.jpg

kwahiyo hii n fake
 
Mkuu unashindwa kabisa kugundua hilo tangazo kuwa ni fake ? Check spelling errors zilivyo nyingi,

Njoo upande mwingine hawajasema details muhimu,
Yan hapo hakuna ukweli, na Mo na Tulia wamesema mara nyingi sana kuwa wao hawahusiki na utapeli huo

Je sawa acc inaweza kua fake lakini je hawa watajwa hawajihusishi na utoaji mikopo??

Na kam matapeli wanapata nn maana hamna sehemu wanadai pesa zaidi ya document
 
Back
Top Bottom