mliopo USA, swali

Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya

Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? maana wanawake ndio wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?

duh!

l_824a5b5386ab424490c6a60e66b2f714.jpg

l_9f32d7b21fa54d588e21706830da3975.jpg

l_43c7438801f442f2b6ab88897b62a81e.jpg

l_58ebc6342b4a462290cee6d9d2408992.jpg

kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake

Cigar_from_nicaragua.jpg

Picha ya mwisho kabisa inaonyesha msokoto wa bangi, hivi ni lazima upige huo msokoto ndiyo uweze kufanya mambo sawa sawa?

Kaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Picha ya mwisho kabisa inaonyesha msokoto wa bangi, hivi ni lazima upige huo msokoto ndiyo uweze kufanya mambo sawa sawa?

Kaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!

Ahhh wapiiii
mimi huwa nakodisha majeshi haya:

aspire36.gif

lakini hizo side effects zake noma tupu

mambo ya kuvuta bangi yamepitwa na wakati
 
Picha ya mwisho kabisa inaonyesha msokoto wa bangi, hivi ni lazima upige huo msokoto ndiyo uweze kufanya mambo sawa sawa?

Kaaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!

Wewe uliyesema hiyo ni bangi inabidi uchekiwe macho....
Hiyo ni Cigar.
799px-Three_cohiba_cigars.jpg
 
Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya

Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? maana wanawake ndio wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?

duh!

l_824a5b5386ab424490c6a60e66b2f714.jpg

l_9f32d7b21fa54d588e21706830da3975.jpg

l_43c7438801f442f2b6ab88897b62a81e.jpg

l_58ebc6342b4a462290cee6d9d2408992.jpg

kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake

Cigar_from_nicaragua.jpg

Uzuri wa mke tabia wowowo majaliwa.
 
GT,
Sisi kama hawa huku Sikonge tunawapata kila siku na unachotakiwa kuwa nacho ni mbio tu maana CHAGULAGA ikishaanza, wewe ni U-BOLT wako. Ukishamdagaka unamwambia tu CHAGUA BEGA. Ila hii tumeikodisha hivi karibuni kutoka kwa Wachaga. Tofauti ya wa kwetu na Wachaga ni moja Ukimshika msalani HAKULABUI.
 
Heheh ATL totoz nyingi tuu...kwanza ukienda uswahilini totoz za kumwaga nzuri kuliko ata Beyonce na Alicia Keys...ukiwa na 1972 Chevy Impala SS sitting on 22s unabeba kizigo bila gharama.

Duh...hivi watu bado wanaweka 22s kwenye magari yao? that is so 2000ish.....
 
l_824a5b5386ab424490c6a60e66b2f714.jpg

GT,

mwenzio naishia kunawa tu...kula sili.

ATL tutatembelea baada ya inauguration 'kulisha macho'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom