Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,594
- Thread starter
- #281
Hii mada bado ipo???doh mlionitusi wooote,nimewalenga Pabaya... Itakuwa private parts nimewagonga doh mada za mke wangu kaninyima unyumba zinaongezeka kila siku hamjui kucheza na saikolojia ya wanawake,tunapenda, wengi kuonewa huruma,kusaidiwa na kujaliwa.. Mkifua na kupika mnasaidia sex life yenu eboh
....NA pia kuna wanawake wanafiki humu sijawahi kuona,,, hivi kuna mwanamke asiyependa kusikia kutoka kwa bebi wake akisema bebi leo tufue wote nguo au bebi leo pumzika nitapika ....hivi hujiskii kuwa na mapendo na mume wa hivi?... Au mnajishaua tu hapo kati mjionyeshe mna adabu sana au mna maadili, wengine mnatafuta PM tu nyie