OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Halafu mimi nashindwa kuelewa, mbona karibia nchi zote za Afrika Rais anapokuwa anahutubia yule sijui ndo mpambe sijui Bodyguard lazima awe nyma yake, lakini nchi kama Marekani na ulaya kwa ujumla sijaonaga hiyo makitu, na ninaamini huu mfumo wa wanausalama tunachukua ujuzi toka huko kwa wenzetu.
Au kwa vile Marais wengi wetu wa bara la Afrika ni wagonjwa hivyo lazima awepo mtu nyuma, kama iktokea kazidiwa ili amdake, rejea tukio la kufunga kampeni jangwani na hili la juzi la yule wa Zimbabwe.
Naomba kufahamishwa wajumbe.
Mifumo iko mingi kutegemea wapi anaenda na nini anafanya na taarifa za awali zinataka nini. . . .Yawezekana hayo unayoona ndio yanafaa zaid kwa wakati na sehemu husika. Ila sio sehemu zoote hukaa nyuma!!