Mkwawa high school: Singo hii inakukumbusha nini?

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Kwa kweli watu wa Mzumbe wamenitamanisha sana....

hebu na sie wa Mkwawa tukumbukie enzi......ukisikia hiki kipande cha Singo hili unakumbuka nini

Mkwawa Shule twaipenda, Mkwawa Shule twaipenda
Moto wetu nidhamu, taaluma kujitegemea
Kwa ujenzi wa Jamii na taifa letuuuuuuu

Hahaaaa, kwa wale wa enzi za Mzee Mbao Sebastian K.K. akiwa Master, namuona povu linamtoka mdomoni kwa lijamaa limevunja meza DH au Mzee Tende kashtaki katorokwa kwenye Cube namba 9 ya Shebby Rob West.........hahaaaaa
 
wale wa mwaka 1976- 1977 nimemkumbuka saa Mzee Staki (RIP), Singano, Mbwanji, Chamshama, Sawaya, Ndosi, Mamuya, Tukai (alikuwa mbabe sana) Hao ni baadhi ya Wallimu. Bila kumsahau Samwel Wangwe (headprefect). Mwakasege (now Mwalimu wa Injili), Davis Baitani, Danhi Makanga.
 
Duh, Mkuu hii ndio ile class ya Kakobe nini? Maana naona in ahadi Mwakasege japo nasikia Kakobe alikuwa mzee wa Rumba mbaya....Hili darasa lilikamilika

mnhhhh...nyie nao mlisomaga zamani sanaaa...yani sie tunazaliwa nyie ndio mpo shule ile?... sie tulosoma enzi za MKWAWA HIGH SCHOOL COMPLEX N CASSNO... tulikuta hata underground ways zishafungwa tukaishia kusimama bomba tatu na kula maandazi ya makanyagio na kukimbizana na kina Nguwi (R.I.P) Mwangoka, mwaipaja na mkubwa wao MGOHAMWENDE (R.I.P) akitupiga mkwara wa kubadilisha miwani kisha anasema "this is sobibo camp" only few may survive and none escapes"... hapo ujue kuna watu wanakula suspension na "masharobaro" shule ndio hawana tena..... mkwawaaaaaaaa... du nimepamiss pale mahala... EASTSIDERSSS... MAKONGORO EAST CUBE NO 72.... OLD GUD LOVELY DAYS
 
mnhhhh...nyie nao mlisomaga zamani sanaaa...yani sie tunazaliwa nyie ndio mpo shule ile?... sie tulosoma enzi za MKWAWA HIGH SCHOOL COMPLEX N CASSNO... tulikuta hata underground ways zishafungwa tukaishia kusimama bomba tatu na kula maandazi ya makanyagio na kukimbizana na kina Nguwi (R.I.P)Mwangoka, mwaipaja na mkubwa wao MGOHAMWENDE (R.I.P) akitupiga mkwara wa kubadilisha miwani kisha anasema "this is sobibo camp" only few may survive and none escapes"... hapo ujue kuna watu wanakula suspension na "masharobaro" shule ndio hawana tena..... mkwawaaaaaaaa... du nimepamiss pale mahala... EASTSIDERSSS... MAKONGORO EAST CUBE NO 72.... OLD GUD LOVELY DAYS

Mkuu usiseme maandazi, sema mabanzi......hahaaaaaa

Huyo mwanaume hapo kwenye red sikukaa nae sana, kiukweli huwa namkumbuka sana.....jembe hil
o

Yaani mimi nikisikia tu hili neno cube natamani kuparudia pale mahala....dah,
 
Ngazi kumi na tano, seti benjamini, viwanja vya gofu nk hayo ni baadhi ya maeneo nayo yakumbuka. Nimependa kumbukumbu za Stafford Kibona enzi zao wakiwa mkwawa
 
Mkuu ilikuwa ukisikia unaitwa ngazi kumi na tano daah, unaomba mbingu ikusogelee karibu..........wa enzi za hapa karibuni unajua kuna mtu anaitwa Mgimwa (japo kafupi lakini matata matupu) na msaidizi wake bi Kiroboto yule maadam wa kichaga yule, hatari tupu ndani ya ngazi kumi na tano
 
Yule mama Masawe alikuwa nuksi kweli, kulikuwa na walimu Ngimba na Masatu wa Sheb east na west, mabanzi ya makanyagio kwa Chuwa au kwa Nelkon. Kombolela kila jumatatu. Dah! Napatamani sana Mkwawa!!
 
Mgohamwende alimng'oa Irene Kiwia. Class of 2000 Ridhwani Kikwete, Dyellu Kalufya, Hassan Mwameta mpambe wa Riz1 hadi leo, MC Medy mwarabu wa tabora, Dorice Exaud, Sada Kassimu, Lusajo Elly, sara sichalwe (odemba), kabusure (RIP), Peter Chawe (mbabe wa DH), Lilian mziray, Taki Mdeng'o. Hao walikuwa mastaa wetu.
 
ahahaaa mama masawe tulimtungia wimbo "magembe wananiwinda wanile nyama bwana fanya hima uje uniokoea" alikuwa ni noumar yule mama,na kila wiki Lumumba West wamwisho kwa usafi then wanajipigia makofi na vigelegele. Kuna kina Puffy Dady , Salehe Kijangwa
 
I was there wakati huu. Ilikuwa ni hatari lakini Irene ile zali inasemekana aliitengeneza mwenyewe. I wish tungeonana sura hapa na kucheka kidogo. Nilikutana na Mgimwa Dar na akanikumbuka tena kwa jina yaelekea alikuwa anajua wanafunzi wake wengi. Sikujua kama mzee Mgohamwende alifariki. Yule mzee alikuwa mbabe maana anafuatwa na walimu na viongozi kuleta assembly. Alikuwa ana mapozi ya ajabu katika kuzungumza. Sikujua pia Nguwi naye ni RIP. Thread hii imenijuza mengi saana. All in all ni shule ambayo wengine walinufaika na wengine waliharibikia pale.
 
Hivi vichwa sitavisahau katika maisha yangu
complex.jpg
 
ahahaaa mama masawe tulimtungia wimbo "magembe wananiwinda wanile nyama bwana fanya hima uje uniokoea" alikuwa ni noumar yule mama,na kila wiki Lumumba West wamwisho kwa usafi then wanajipigia makofi na vigelegele. Kuna kina Puffy Dady , Salehe Kijangwa
Lumumba west walikuwa wanajiita wazee wa pamba lakini kwa usafi kila wiki wa mwisho. Tende na kipaza sauti chake a.k.a Kitende.....!!
 
I was there wakati huu. Ilikuwa ni hatari lakini Irene ile zali inasemekana aliitengeneza mwenyewe. I wish tungeonana sura hapa na kucheka kidogo. Nilikutana na Mgimwa Dar na akanikumbuka tena kwa jina yaelekea alikuwa anajua wanafunzi wake wengi. Sikujua kama mzee Mgohamwende alifariki. Yule mzee alikuwa mbabe maana anafuatwa na walimu na viongozi kuleta assembly. Alikuwa ana mapozi ya ajabu katika kuzungumza. Sikujua pia Nguwi naye ni RIP. Thread hii imenijuza mengi saana. All in all ni shule ambayo wengine walinufaika na wengine waliharibikia pale.

kaka tupe hiyo ya irene kiwia wengine hatukuwah isikia
 
Riz1 Kikwete naye alisoma mkwawa High School? Nijuzeni wanjamvi maana mi nilisoma 1996 mpaka 1998.
 
mnhhhh...nyie nao mlisomaga zamani sanaaa...yani sie tunazaliwa nyie ndio mpo shule ile?... sie tulosoma enzi za MKWAWA HIGH SCHOOL COMPLEX N CASSNO... tulikuta hata underground ways zishafungwa tukaishia kusimama bomba tatu na kula maandazi ya makanyagio na kukimbizana na kina Nguwi (R.I.P) Mwangoka, mwaipaja na mkubwa wao MGOHAMWENDE (R.I.P) akitupiga mkwara wa kubadilisha miwani kisha anasema "this is sobibo camp" only few may survive and none escapes"... hapo ujue kuna watu wanakula suspension na "masharobaro" shule ndio hawana tena..... mkwawaaaaaaaa... du nimepamiss pale mahala... EASTSIDERSSS... MAKONGORO EAST CUBE NO 72.... OLD GUD LOVELY DAYS
Umenikumbusha mbali sana mkuu,mke wangu nimempata toka Magembe west
sina hakika kama mzee wa kingereza kigumu mgoha mwende kafariki kwani mala ya mwisho alikuwa dodoma sec

tutafutane mkuu kwani ya kale haya nuki
 
woooh wht amazing nakumbuka pachas SHEBY-GEMBES , LUMUMBA-AGGREY , KONGORO EAST KWA WEST daaaah ikoso memorable momeeeent!
 
mmmh huku akae Massawe kule atege Makwaya Mgimwa kona nyingine Tende cubin kuna fanta Magoli bado Mbao hujakutana nae mjini. pia tumkumbuke toz M
WA MAKANYAGIO HOYEEEEEEEEEE!!!!! kwa Nelly
 
Yule mama Masawe alikuwa nuksi kweli, kulikuwa na walimu Ngimba na Masatu wa Sheb east na west, mabanzi ya makanyagio kwa Chuwa au kwa Nelkon. Kombolela kila jumatatu. Dah! Napatamani sana Mkwawa!!
teh teh teheeeeeeeeeee ucmsahau mama mwidete. ila fanta magoli alikua pooooooa only totoz tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom