Mkwawa High School mpo?

Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.
 
Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.

Wewe inawezekana tumesoma pamoja Mkwawa in 1990s. Busanji pia kanifundisha hesabu na nilikuwa nahudhuri tuition yake ya Physics. Jamaa ni mkali. Kwa mara ya mwisho nilipokutana naye Dar alikuwa anafundisha Makongo Sec. sijui kama bado yupo au la. Waweza kumtafuta kwa namba hii (check PM) kama hajabadilisha.
 
Nadhani wameharibu kuibadlisha mkwawa yetu kuwa university, imepoa na kupungua hadhi yake, hivi jamani Mwaipaja yuko wapi siku hizi, Senior academic master
J
mtaalaamu wa hesabu...! nawapa hi PCM waliomaliza 1998

PCM student, ulikuwa M ngapi?
 
Mkwawa;
  • Nilikuwa PCM, 1996 - 1998, M2
  • Namkumbuka sana uongozi wa akina Abdala Mlawa na madudu yao pamoja na kufungua barua za mademu,
  • Kuokota kuni kwenye mapori ya Iringa,
  • Mjini kujirusha na mapumziko embakassy au Four in one (namkumbuka sana demu mmoja hivi alihamishwa shule kwa ajili yangu),
  • Top layer kwa computer na wali nyama kila jmosi na utable leader,
  • EMS, fax money na usomaji wa barua.
  • Bila kusahau umeneja wa kusafiri kwenda maeneo mbalimbali. Nilipata Gembe jipya kila nilipokuwa nasimamia basi
 
Najua nikisema "YAAA" ntacheka sasa sisemi "YAAA" - Mwl Ngui. watu hawakuwa na mbavu
 
wazee wa Complex hata humu mpo?
Balaha!!
Kuna kikaao cha wanamkwawa hivi karibuni. waliopo Dar stay tuned.
nimesikia tangazo radioni leo.
Nawakilisha CHAKA LA DOGGY
 
mzee kama tumepiga wote MKWAWA COMPLEX & CASSINO...aka..SOBIBO CAMP...maana cletus magoda alikuwa bweni mate wangu MAK-EAST..aka..EASTSIDERZ....pale wakulu tulikula shangwe...unakumbuka vyoo vyetu vya shimo kuingia mpaka ufue shati???

Magoda tulikuwa nae Shabani East, Upper wing!
 
Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.

Mwl.Busanji mara ya mwisho nilimwacha Makongo sec. Alikuwa anafundisha Physics A-level.hiyo ilikuwa 2007.
N.B Mkwawa mlikuwa na walimu wazuri. BUSANJI na JOEL MASEBO wa somo la Kiswahili, Col. Kipingu 'aliwaiba' akawaleta Makongo na wakaleta mafanikio.
 
Lumumba east...the only place to be. Makanyagio, love square, lum west wazee wa pamba production.,jaman wana complex wa miaka ya 2003-2005 mpoo!? Mnamkumbuka garigo,mr.mbao, mh.tende, makwaya,masatu, mgimwa,.?
 
Mwalimu wangu wa Historia mzee Sago alifundisha Mkwawa.Mara nyingi alipenda kuelezea mambo mengi ya shule hiyo.
 
Back
Top Bottom