Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.
aha ahahaha mkuu ni kweli kabisa,nami nilikuwa hapo miaka hiyo 2001-2003
Nadhani wameharibu kuibadlisha mkwawa yetu kuwa university, imepoa na kupungua hadhi yake, hivi jamani Mwaipaja yuko wapi siku hizi, Senior academic master
J
mtaalaamu wa hesabu...! nawapa hi PCM waliomaliza 1998
mzee kama tumepiga wote MKWAWA COMPLEX & CASSINO...aka..SOBIBO CAMP...maana cletus magoda alikuwa bweni mate wangu MAK-EAST..aka..EASTSIDERZ....pale wakulu tulikula shangwe...unakumbuka vyoo vyetu vya shimo kuingia mpaka ufue shati???
Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.
Nauliza kama hapa JF wapo waliopitia Mkwawa High School miaka ya 1974-75?
Shule za mchangani hazipaswi kujadiliwa hapa jamvini
Aikambe kwa chuaMakanyagio si ndio tulikuwa tunapata wali na maharage, tulikuwa kila siku tunakimbizana na NGUI.
Lumumba West nimekumbuka mbali sana.
Mwalimu wangu wa Historia mzee Sago alifundisha Mkwawa.Mara nyingi alipenda kuelezea mambo mengi ya shule hiyo.
Daaah nasikitika kuwapa taarifa hii mwalimu busanji amefariki dunia juzi tarehe 15 alikua mwalimu wangu wa physics pale marian boysLumumba West nimekumbuka mbali sana.
Apate pumziko la milele.Daaah nasikitika kuwapa taarifa hii mwalimu busanji amefariki dunia juzi tarehe 15 alikua mwalimu wangu wa physics pale marian boys