Mkuu wa Wilaya MVOMERO kuwa Rais wa Chama cha Riadha TZ ni sawa?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,043
8,609
Salamu wanajamvi naomba kuelimishwa, kiutendaji/kikatiba inaruhusiwa Mkuu wa Wilaya kugombea uongozi wa Chama cha Michezo?

Nauliza kwa maana nimesoma sehemu DC wa Mvomero Antony Mtaka kuchaguliwa kuwa Rais wa RT hebu wataalamu naomba msaada wenu kwa hili. kwa namna hii ikitokea sehemu ya maamuzi kama ama DC or Rais wa RT haiwez kuleta shida kwa kuwa na vyeo viwili vinavyosigana?

Karibuni!
 
we hushangai katibu mkuu wa nishati pamoja na kuwa mtendaji mkuu na matatizo yote ya umeme tuliyonayo anaenda kugombea uongozi Yanga
 
Back
Top Bottom