Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

Wengine tulisoma Enzi za Kandolo DIT,Mbosoli TCA na Zuberi MTC

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapa hakuna anayelaumu, bali ni kueleza facts ili mamlaka husika zichukue hatua. Hayo siyo majungu, nafanya hivyo kwa maslahi ya taifa. Kila nilicho elezwa kina ushahidi wa maandishi au audio recordings akiwa ana harass au kudhalilisha wafanyakazi kinyume kabisa na maadili ya utumishi wa umma. Hamna haja ya kuziweka hapa hadharani ila ikibidi nitaambatanisha attachment kwa kila fact alafu wewe utaamua kama ni majungu au la.

Prof Ndoma kufanya vizuri darasani haimfanyi kuwa kiongozi bora. Usitetee usichokijua. Kama unataka nenda DIT ukafanye verification ya kila fact niliyosema kama hautakuta kila nilichosema ni kweli.

Prof Kondoro alikuwa na mapungudu yake kama binadamu, lakini alikuwa ni kiongozi na hakuwa Mtawala kama Prof Ndoma. Kondoro alikuwa anasikiliza watu, kuwaheshimu na kushauri. Alikuta DIT ina PhD moja kama sikosei na hakulalamika kuwa hana watu wa kufanya nae kazi. Aliandaa mpango mkakati wa kuendeleza wafanyakzi. Prof Ndoma amekuta kuna zaidi ya PhD 50 DIT na bado anasema hana mtu wa kufanya nae kazi. Huyo ana akili timamu au anataka watu watoke mbinguni?

Naendelea kusisitaza, WITH AUTHORITY, Prof Ndoma, apangiwe majukumu mengine, kuongoza watu hawezi.
Daah mkuu uko vizuri kwenye uandishi na kujenga hoja
 
MAFILILI,

Binafsi namfahamu Prof.Ndomba kabla hajawa Principal DIT alikuwa lecturer UDSM ni mtu poa sana, sio muongeaji au mwenye kujivuna na madaraka/cheo alikuwa ni msaada sana kwangu na kwa wengine ambapo baada ya kuhitimu masomo alituunganisha na waajiri katika kazi.

Nakumbuka kuna maneno ambavyo upenda kuongea "say what you know and don't say what force you to say".
😃😃😃 waje kwangu mimi nimtupie jini subiani..huo ndio utakuwa muarobaini wa kero zao
 
Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba, hana uwezo wa kuiongoza DIT kwa ufanisi na hivyo inapaswa abadilishwe. Sababu kuu za kutaka abadilishwe ni kama zifuatavyo:

Hakubali kushaurika, hasikilizi na ni mbishi: Ukimshauri kama hapendi unachomshauri atakikataa hata haka hana hoja za msingi za kukataa. Kwa vile yeye ni Prof, inatarajiwa akatae kwa hoja na si kwa amri na bila hoja. Hata akishauriwa kitaalam, with facts, kama hapendi, atakataa hata bila sababu za msingi. Wakati mwingine, kabla hajasikiliza hoja yako ya msingi, atakukatatisha na kukuzuia kuendelea kuongea. Kiongozi wa namna hii hafai kuongoza taasisi ya Umma kama DIT

Anawatishia kuwafukuza wafanyakazi wanapokuwa na mawazo tofauti na yake: Wafanyakazi kadhaa wameshapelekwa kwenye disciplinary committee na baadhi amewatishia kuwaandikia barua za kinidhamu. Anaongea na wafanyakazi matured, kama anavyoongea na mtoto mdogo bila staha, anakutisha utafikiri hujui sheria za kazi.

Amwemwandika barua hadi dereva wake eti kwa sababu alienda kumpokea Naibu Katibu Mkuu wizara ya Elimu. Anatengeneza hofu kwa wafanyakazi. Kwa sababu hii, vikao vingi, na maamuzi yanafanyika kama anavyotaka yeye na kwa sababu amewajengea wafanyakazi uoga, na wengi hataki kupoteza muda kubishana nae.

Anadhalilisha wafanyakazi, wakiwemo hata wasaidizi wake: Ikiwa ni pamoja na kuwafokea hata wasaidizi wake mbele ya wafanyakazi wengine, kuwaamurisha wafanyakazi, wakiwemo wakuu ma maidara, kukaa chini hata kama wanatoa hoja za msingi kwenye vikao.

Halipi wafanyakazi stahiki zao ambazo ni halali kisheria: Malipo mbalimbali yakiwemo extra duty, perdiem wakati wa safari za kikazi. Yeye, anaposafiri analipwa stahiki zake zote kisheria. Kuna mfanyakazi aligoma kwenda China kuwapeleka wanafunzi kutembelea chuo kimoja huko China, kwa sababu mkuu alitaka waende bila malipo stahiki, tena wakiwa wanasafiri na wanafunzi. Kila mara Mkuu huwa anautoa huo mfano kama mfano mbaya kwa wafanyakazi.

Wakati wa registration, wafanyakazi wanafanya kazi hadi usiku, lakini wanapoomba stahiki zao, mkuu anaamua kuwalipa kiasi kidogo, bila sababu na wakati wanafunzi wamelipa registration fee. Walimu wa part time, hawalipwi kwa wakati, wanafundisha semester nzima bila malipo. In fact, walimu wa part time wameongezeka kwa sababu walimu wengi walikaa kuchukua extra load teaching load kwa sababu alikataa kuwalipa, hivyo sasa hivyi walimu wa part time wanalipwa zaid ya milioni 400.

Hana utu/ubinadam (hana empath) na hajali maslahi wa wafanyakazi: Watu wanapoenda kumuona kwa shida mbalimbali, anawajibu majibu ya kukatisha tamaa. Ameshindwa kusimami matumizi ya fedha kiasi kwamba pesa za bima ya Afya ya Wafanyakazi huwa wakati mwigine anashindwa kuzipeleka NHIF kwa wakati na kufanya wafanyakazi wafungiwe huduma za bima za afya, kitu hatarishi kwa afya za wafanyakazi. Akilalamikiwa hajai.

Anayapa kipaumbele mambo ya kumpa sifa na si mambo ya kusaidia taasisi kukua kitaaluma: Kujenga pavement wakati kuna walimu wana office mbovu, zina vumbi na viti vibovu. Mabweni ya wanafuzi ni mabovu kupindukia, kunguni wamejaa kila kona. Mfano mwingine ni Library - wakati inakarabitiwa watu walikuwa wanafanya kazi usiku na mchana ili kuzinduliwa na Waziri Mkuu, ambaye hakuweza kuja kwenye uzinduzi wakati wa Graduaration December.

Toka kipindi hicho, kila kitu kilisimama hadi leo. Alikuwa anafanya kazi usiku na mchana ili aje apate sifa kuwa amekarabati library imependeza, na siyo kwa sababu anataka library iishe haraka ili wanafunzi waitumie kusoma kabla semester haijaisha.

Hiyo nguvu ya kutengeneza library usiku na mchana mbona haipo sasa hivi? Mambo ambayo anafanya ni yale yatakayomfanya aonekanane kwa viongozi kuwa anafanya kazi nzuri ili apate sifa. Anatumia DIT kama stepping stone, ili aonekane kuwa yeye ni bora ili apate uteuzi mwingine, na hana lengo la kuijenga taasis kitaaluma. Ndo maana hata kujenga pavement tu, au kukarabati library anamwalika Rais, Waziri Mkuu au Waziri kuja kuifungua/kuizindua!

Hapandishi Wafanyakazi madaraja kwa vigezo vyake binafsi: Kuna urasimu katika kupandisha wafanyakazi madaraja. Pamoja na kuwa wanakuwa wamekidhi vigezo vyote, anasema "hamjakidhi vigezo kama kule kwetu UDSM". Wakati mwingine anasema "Mtakuwa Maprofesa wa DIT", anataka kutumia vigezo vya vyou vingine katika kupandisha madaraja wafanyakazi wa DIT. Kama anaona vigezo vina mapungufu, apendekekeze viwe reviewed?

Anapenda kuabudiwa: Anataka kila kitu lazima aandikiwe paper au kuwe na formal submission - hata mambo ambayo hayahitaji kuandikiwa paper wala hayahitaji formal submission yeye anataka iwe hivyo. Kuna Dr wamekosa kushiriki kwenye Project ya EU kwa sababu alikataa kusaini project agreement kwa kigezo kuwa hajaandikiwa paper kuombwa asaini.

Kwenye hiyo agreement, kuna maelezo yote ya lengo la project, involvement ya taasis na impacts za project. UDSM na vyou vingine vimepata hiyo project and DIT tumekosa kwa sababu ya Tabia ya Mkuu wa Taasisi. Utumie muda kuandika proposal, tena upeteze muda kumwandikia mkuu wa taasis ombi la kukubali kusaini!

Anadanganya viongozi kuhusu dhana ya Teaching Factory: Kwamba kazi zote wanafanya wanafunzi na walimu. Siyo kweli, zaidi ya asilimia 90 ya kazi kwenye miradi ya ujenzi wa pavements na library zimefanywa na vibarua, lakini wakati wa uzinduzi Waziri wa Elimu alidanganywa kuwa kazi yote ya ujenzi wa pavement imefanywa na wanafuzi na wafanyazi, ili kujipatia tu sifa za uongo.

Anamdharau kila mtu - kila mara anasema DIT hamna watu: DIT ni chuo cha ufundi ambacho kina PhD holders wengi kuliko chuo chochote cha ufundi hapa nchini. Wote hao anawadharau, anasema hana mtu wa kufanya naye kazi. Ukweli ni kwamba, DIT kuna potential resource ambayo Mkuu wa Taasisi hajaweza kuitumia kwa sababu ya tabia yake ya kutosikiliza, kutoheshimu mawazo ya watu wengine na kudharau.

Hivyo, wengi wameamua kufanya mambo yao binafsi ya kimaendeleo kuliko kubishana na Mkuu wa Taasisi. In fact, kuna watu ni very bright, intelligent kuliko hata Mkuu mwenyewe na wamesoma vyou bora zaidi kuliko hata chuo alichosoma yeye, lakini bado anapokuwa anaongea nao, anawadharau na hawasikilizi.

Why waste time with such a person! Hii resource, inayolipwa mishara na pesa za walipa kodi, haitumiki ipaswavyo kwa sababu ya Tabia ya Mkuu wa Taasisi. Hii ni hasara kubwa sana kwa Taifa. DIT imetoa viongozi mbalimbali: Prof Mganilwa (Rector NIT), Dr Mgaya (Deputy Rector Academic, NIT), Dr Masika (Aliyekuwa Mkuu wa Chuo Arusha Tech), Deputy Rector wa sasa hivi wa Arusha Tech, Aliyekuwa mkuu wa Chuo cha Maji, Mkuu wa chuo wa sasa wa DMI, nk.

Na bado kuna huge potential ya PhDs. Prof Ndomba haoni hii potential, na hata hataki wasaidizi wake watoke DIT kwa sababu ya dharau. Deputy Principal Academic amekaimu zaidi ya miezi 20 kinyume na sheria, ila hataki awe confirmed kwa sababu zake binafsi.

DIT ni taasisi muhimu sana ya elimu ya ufundi, hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea katika uchumi wa kati wa viwanda. Taasisi isipoendeshwa kwa weledi, hatutaweza kupata wahitimu wenye elimu ya ufundi itakayowasaidia katika kuendeleza na kusimamia miradi mikubwa inayoendelea kuwekezwa hapa nchini.

Kutokana na tabia yake na namna ambavyo anakiongoza chuo, walimu na wafanyakazi wote wamekata tamaa na wamekuwa na mgomo usio wa wazi. Hii ina madhara makubwa sana kwa wanafunzi, na kiwango na ubora wa elimu ya ufundi itashuka. Na pia potential kubwa ya wafanyakazi wenye PhD inapotea bure, kupelekea hasara kwa Taifa.

Hivyo basi, kwa manufaa ya taifa, Wizara ya Elimu imbadilishe Mkuu wa Taasisi ya DIT, Prof Ndomba. Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako, Prof Ndomba ni family friend, umembeba sana. Hata UDSM ali-underperform akapewa sabbatical leave kama njia ya kumtoa kwenye nafasi aliyokuwa akitumikia. Naomba ufungue mbeleko, atambee kwa miguu yake mwenyewe!

Tunaomba uteue kiongozi mwenye weledi na mawazo mtambuka atakayesimamia DIT na kuendeleza elimu ya ufundi hapa nchini na atakaeweza kutumia kwa ufanisi rasmali watu iliyopo DIT kwa manufaa ya taifa!
Huyo jamaa ni Magufuli nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eng. Basondole holds a Master of Science in Construction Management and Bachelor of Science in Civil Engineering both from the University of Dar es Salaam (USDM). He has also attended many short courses in project management, value-for-money and procurement audits, and FIDIC accredited courses in contract management and managing sustainable consulting engineering business. He is registered by the ERB as a consulting engineer, registered as a Professional Engineer by Engineering Institution of Zambia, Fellow - Institution of Engineers Tanzania (FIET) and he is its Vice President. He is also ERB Board Member.

Eng. Basondole is academically qualified and professionally experienced in civil and building projects and management covering all project cycles of project appraisal, feasibility, design, tendering, construction, project completion and closure with 23 years of experience. Having graduated from the UDSM in 1993, he worked as Site Engineer on multi-million building projects between September 1993 and May 1998. He also worked as a Senior Construction Engineer and Team Leader in an assignment to assess completed repairs to flood damages on the Central Railway Line from August 1998 to January, 1999. From February, 1999 to date he carried out feasibility studies, detailed engineering designs, supervised as resident engineer, and conducted value-for-money and technical on civil and structural projects whose value is in the tune of T.Shs. 3 Trillion.

He also has vast experience in carrying out procurement audits and has conducted procurement audits to sixty-four (64) public procuring entities in Tanzania which include six (6) ministries; twelve (12) government agencies; eight (8) Government Authorities; four (4) Funds; twenty (20) Local Government Authorities, three (3) Universities/Colleges; three (3) Regulatory Boards; and eight (8) Government Institutions.
Eng. Basondole is also a certified trainer of trainers and during his 23 years of experience he has mentored more than 50 graduate and junior engineers. Between 2000 and 2002, he conducted Review Courses, set and marked professional examinations, behalf of the Engineers' Registration Board (ERB) for practising engineers aspiring for professional registration.

During his 23years experience, Eng. Basondole has prepared more than 250 Expression of Interest Documents and developed about 200 proposals ranging from designs and supervision of civil and building projects, studies, technical and value-for-money audits and training.

Nimelazimika kuingia JF baada ya kusoma bandiko hili.
Nimefanyakazi na Basondole.
The guy is hopeless, hopeless kabisa.
He has never been a problem solver and forward thinker.
In short elimu ya uhandisi haijamsaidia kutatua changamoto za taluma yake.
Tembelea miradi yote aliyowahi kufanyakazi, pengine utaelewa naongea nini!!!
 
Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba, hana uwezo wa kuiongoza DIT kwa ufanisi na hivyo inapaswa abadilishwe. Sababu kuu za kutaka abadilishwe ni kama zifuatavyo:

Hakubali kushaurika, hasikilizi na ni mbishi: Ukimshauri kama hapendi unachomshauri atakikataa hata haka hana hoja za msingi za kukataa. Kwa vile yeye ni Prof, inatarajiwa akatae kwa hoja na si kwa amri na bila hoja. Hata akishauriwa kitaalam, with facts, kama hapendi, atakataa hata bila sababu za msingi. Wakati mwingine, kabla hajasikiliza hoja yako ya msingi, atakukatatisha na kukuzuia kuendelea kuongea. Kiongozi wa namna hii hafai kuongoza taasisi ya Umma kama DIT

Anawatishia kuwafukuza wafanyakazi wanapokuwa na mawazo tofauti na yake: Wafanyakazi kadhaa wameshapelekwa kwenye disciplinary committee na baadhi amewatishia kuwaandikia barua za kinidhamu. Anaongea na wafanyakazi matured, kama anavyoongea na mtoto mdogo bila staha, anakutisha utafikiri hujui sheria za kazi.

Amwemwandika barua hadi dereva wake eti kwa sababu alienda kumpokea Naibu Katibu Mkuu wizara ya Elimu. Anatengeneza hofu kwa wafanyakazi. Kwa sababu hii, vikao vingi, na maamuzi yanafanyika kama anavyotaka yeye na kwa sababu amewajengea wafanyakazi uoga, na wengi hataki kupoteza muda kubishana nae.

Anadhalilisha wafanyakazi, wakiwemo hata wasaidizi wake: Ikiwa ni pamoja na kuwafokea hata wasaidizi wake mbele ya wafanyakazi wengine, kuwaamurisha wafanyakazi, wakiwemo wakuu ma maidara, kukaa chini hata kama wanatoa hoja za msingi kwenye vikao.

Halipi wafanyakazi stahiki zao ambazo ni halali kisheria: Malipo mbalimbali yakiwemo extra duty, perdiem wakati wa safari za kikazi. Yeye, anaposafiri analipwa stahiki zake zote kisheria. Kuna mfanyakazi aligoma kwenda China kuwapeleka wanafunzi kutembelea chuo kimoja huko China, kwa sababu mkuu alitaka waende bila malipo stahiki, tena wakiwa wanasafiri na wanafunzi. Kila mara Mkuu huwa anautoa huo mfano kama mfano mbaya kwa wafanyakazi.

Wakati wa registration, wafanyakazi wanafanya kazi hadi usiku, lakini wanapoomba stahiki zao, mkuu anaamua kuwalipa kiasi kidogo, bila sababu na wakati wanafunzi wamelipa registration fee. Walimu wa part time, hawalipwi kwa wakati, wanafundisha semester nzima bila malipo. In fact, walimu wa part time wameongezeka kwa sababu walimu wengi walikaa kuchukua extra load teaching load kwa sababu alikataa kuwalipa, hivyo sasa hivyi walimu wa part time wanalipwa zaid ya milioni 400.

Hana utu/ubinadam (hana empath) na hajali maslahi wa wafanyakazi: Watu wanapoenda kumuona kwa shida mbalimbali, anawajibu majibu ya kukatisha tamaa. Ameshindwa kusimami matumizi ya fedha kiasi kwamba pesa za bima ya Afya ya Wafanyakazi huwa wakati mwigine anashindwa kuzipeleka NHIF kwa wakati na kufanya wafanyakazi wafungiwe huduma za bima za afya, kitu hatarishi kwa afya za wafanyakazi. Akilalamikiwa hajai.

Anayapa kipaumbele mambo ya kumpa sifa na si mambo ya kusaidia taasisi kukua kitaaluma: Kujenga pavement wakati kuna walimu wana office mbovu, zina vumbi na viti vibovu. Mabweni ya wanafuzi ni mabovu kupindukia, kunguni wamejaa kila kona. Mfano mwingine ni Library - wakati inakarabitiwa watu walikuwa wanafanya kazi usiku na mchana ili kuzinduliwa na Waziri Mkuu, ambaye hakuweza kuja kwenye uzinduzi wakati wa Graduaration December.

Toka kipindi hicho, kila kitu kilisimama hadi leo. Alikuwa anafanya kazi usiku na mchana ili aje apate sifa kuwa amekarabati library imependeza, na siyo kwa sababu anataka library iishe haraka ili wanafunzi waitumie kusoma kabla semester haijaisha.

Hiyo nguvu ya kutengeneza library usiku na mchana mbona haipo sasa hivi? Mambo ambayo anafanya ni yale yatakayomfanya aonekanane kwa viongozi kuwa anafanya kazi nzuri ili apate sifa. Anatumia DIT kama stepping stone, ili aonekane kuwa yeye ni bora ili apate uteuzi mwingine, na hana lengo la kuijenga taasis kitaaluma. Ndo maana hata kujenga pavement tu, au kukarabati library anamwalika Rais, Waziri Mkuu au Waziri kuja kuifungua/kuizindua!

Hapandishi Wafanyakazi madaraja kwa vigezo vyake binafsi: Kuna urasimu katika kupandisha wafanyakazi madaraja. Pamoja na kuwa wanakuwa wamekidhi vigezo vyote, anasema "hamjakidhi vigezo kama kule kwetu UDSM". Wakati mwingine anasema "Mtakuwa Maprofesa wa DIT", anataka kutumia vigezo vya vyou vingine katika kupandisha madaraja wafanyakazi wa DIT. Kama anaona vigezo vina mapungufu, apendekekeze viwe reviewed?

Anapenda kuabudiwa: Anataka kila kitu lazima aandikiwe paper au kuwe na formal submission - hata mambo ambayo hayahitaji kuandikiwa paper wala hayahitaji formal submission yeye anataka iwe hivyo. Kuna Dr wamekosa kushiriki kwenye Project ya EU kwa sababu alikataa kusaini project agreement kwa kigezo kuwa hajaandikiwa paper kuombwa asaini.

Kwenye hiyo agreement, kuna maelezo yote ya lengo la project, involvement ya taasis na impacts za project. UDSM na vyou vingine vimepata hiyo project and DIT tumekosa kwa sababu ya Tabia ya Mkuu wa Taasisi. Utumie muda kuandika proposal, tena upeteze muda kumwandikia mkuu wa taasis ombi la kukubali kusaini!

Anadanganya viongozi kuhusu dhana ya Teaching Factory: Kwamba kazi zote wanafanya wanafunzi na walimu. Siyo kweli, zaidi ya asilimia 90 ya kazi kwenye miradi ya ujenzi wa pavements na library zimefanywa na vibarua, lakini wakati wa uzinduzi Waziri wa Elimu alidanganywa kuwa kazi yote ya ujenzi wa pavement imefanywa na wanafuzi na wafanyazi, ili kujipatia tu sifa za uongo.

Anamdharau kila mtu - kila mara anasema DIT hamna watu: DIT ni chuo cha ufundi ambacho kina PhD holders wengi kuliko chuo chochote cha ufundi hapa nchini. Wote hao anawadharau, anasema hana mtu wa kufanya naye kazi. Ukweli ni kwamba, DIT kuna potential resource ambayo Mkuu wa Taasisi hajaweza kuitumia kwa sababu ya tabia yake ya kutosikiliza, kutoheshimu mawazo ya watu wengine na kudharau.

Hivyo, wengi wameamua kufanya mambo yao binafsi ya kimaendeleo kuliko kubishana na Mkuu wa Taasisi. In fact, kuna watu ni very bright, intelligent kuliko hata Mkuu mwenyewe na wamesoma vyou bora zaidi kuliko hata chuo alichosoma yeye, lakini bado anapokuwa anaongea nao, anawadharau na hawasikilizi.

Why waste time with such a person! Hii resource, inayolipwa mishara na pesa za walipa kodi, haitumiki ipaswavyo kwa sababu ya Tabia ya Mkuu wa Taasisi. Hii ni hasara kubwa sana kwa Taifa. DIT imetoa viongozi mbalimbali: Prof Mganilwa (Rector NIT), Dr Mgaya (Deputy Rector Academic, NIT), Dr Masika (Aliyekuwa Mkuu wa Chuo Arusha Tech), Deputy Rector wa sasa hivi wa Arusha Tech, Aliyekuwa mkuu wa Chuo cha Maji, Mkuu wa chuo wa sasa wa DMI, nk.

Na bado kuna huge potential ya PhDs. Prof Ndomba haoni hii potential, na hata hataki wasaidizi wake watoke DIT kwa sababu ya dharau. Deputy Principal Academic amekaimu zaidi ya miezi 20 kinyume na sheria, ila hataki awe confirmed kwa sababu zake binafsi.

DIT ni taasisi muhimu sana ya elimu ya ufundi, hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea katika uchumi wa kati wa viwanda. Taasisi isipoendeshwa kwa weledi, hatutaweza kupata wahitimu wenye elimu ya ufundi itakayowasaidia katika kuendeleza na kusimamia miradi mikubwa inayoendelea kuwekezwa hapa nchini.

Kutokana na tabia yake na namna ambavyo anakiongoza chuo, walimu na wafanyakazi wote wamekata tamaa na wamekuwa na mgomo usio wa wazi. Hii ina madhara makubwa sana kwa wanafunzi, na kiwango na ubora wa elimu ya ufundi itashuka. Na pia potential kubwa ya wafanyakazi wenye PhD inapotea bure, kupelekea hasara kwa Taifa.

Hivyo basi, kwa manufaa ya taifa, Wizara ya Elimu imbadilishe Mkuu wa Taasisi ya DIT, Prof Ndomba. Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako, Prof Ndomba ni family friend, umembeba sana. Hata UDSM ali-underperform akapewa sabbatical leave kama njia ya kumtoa kwenye nafasi aliyokuwa akitumikia. Naomba ufungue mbeleko, atambee kwa miguu yake mwenyewe!

Tunaomba uteue kiongozi mwenye weledi na mawazo mtambuka atakayesimamia DIT na kuendeleza elimu ya ufundi hapa nchini na atakaeweza kutumia kwa ufanisi rasmali watu iliyopo DIT kwa manufaa ya taifa!
D.I.T sio Ndomba tu... Ni wafanyakazi karibia wote wana hizo sifa.
Uliza mwana D.I.T yoyote aliepata shida ambayo inatakiwa kutatuliwa na uongozi.
Inawafanyakazi wa hovyo sijawahi ona sehemu yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee umeandika kwa uchungu sana. Nimeumia hapo jamaa anapowaambia "DIT hamna watu kabisa, sina watu wa kufanya nao kazi". Amewadharau hadi mwisho na PHD zenu.

Na hatumbuliwi leo wala kesho vumilieni, ndio Afrika hiyo, maskini akipata....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hilo namuunga mkono Ndomba, D.I.T hamna wafanyakazi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom