Mkuu wa Mkoa wa Singida awaita watumishi wa umma kuandamana kupongeza maamuzi ya Rais Magufuli juu ya kikokotoo

In summary, tumerudi hatua 20000 nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hkika magufuli ameiharibu nchi huo ndio ukweli ametuletea dhambi ya unafiki ni ukweli ulio wazi 98% ya wafanyakazi wanalalamikia aina ya utawala wake Léo wanaambiwa eti waandamane kumpongeza halafu wakiwa Huku uraiani kwenye mabaa wanamponda na kutoa Siri walilazimishwa magufuli tufanyie yote ila usitupandikize watz dhambi ya unafiki Hii itatupeleka jehanam kwa CC waislam unafiki ni dhambi kubwa mnoo
 
Ni suala la muda mkuu atavuna matunda anayoyapanda.
Hkika magufuli ameiharibu nchi huo ndio ukweli ametuletea dhambi ya unafiki ni ukweli ulio wazi 98% ya wafanyakazi wanalalamikia aina ya utawala wake Léo wanaambiwa eti waandamane kumpongeza halafu wakiwa Juju uraiani kwenye mabaa wanamponda na kutoa Siri walilazimishwa magufuli tufanyie yote ila usitupandikize watz dhambi ya unafiki Hii itatupeleka jehanam kwa CC waislam unafiki ni dhambi kubwa mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stay tuned!!

Mkuu wa mkoa singida Dr Rehema Nchimbi amewaandikia wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani singida kuwaelekeza wakuu wa idara na taasisi zote za serikali kwa nyanja zote, waende wakaungane naye mjini singida Leo ktk maandamano.

Maandamano hayo ya RC na watumishi hao wa umma ni kumpongeza Mheshimiwa Magufuli kwa uamuzi wa busara na uliojaa huruma nyingi kwa watumishi juu kikokotoo.

Maandamano hayo yataanzia bomani kwa ofisi ya mkuu Huyo wa mkoa Leo mchana.

Mafala wote ndio maana nchi imesimama nani aliasiini sheria
 
Back
Top Bottom