Mkuu wa Mkoa wa Singida awaita watumishi wa umma kuandamana kupongeza maamuzi ya Rais Magufuli juu ya kikokotoo

wakuu wa idara nimeagizwa niwafahamishe kwamba muwafahamishe watumishi waliochini yenu kwamba kesho saa tatu asubuhi tuwe mnazi mmoja kumpongeza mh Rais kufuta kikokotoo.hakikisheni ofisini kwenu kuna minimum services

Hii ni Dsm, Hahahaah Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za kipumbavu kabisa yani nchi inaendeshwa kimasifasifa ya kijinga wanasiasa wanawatumia watumishi kama ngazi hakuna mtumishi atakae msifu magufuli kwaajili ya kikokotoo wakati ni tatizo amelitengeneza mwenyewe ili alitatue asifiwe huuu ni upumbavu mtumishi mshahara umesimama toka uingie madarakani halafu eti akusifu ujinga huu watumishi acheni kuendeshwa kingese
 
Hawana choice .
Katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stay tuned!!

Mkuu wa mkoa singida Dr Rehema Nchimbi amewaandikia wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani singida kuwaelekeza wakuu wa idara na taasisi zote za serikali kwa nyanja zote, waende wakaungane naye mjini singida Leo ktk maandamano.

Maandamano hayo ya RC na watumishi hao wa umma ni kumpongeza Mheshimiwa Magufuli kwa uamuzi wa busara na uliojaa huruma nyingi kwa watumishi juu kikokotoo.

Maandamano hayo yataanzia bomani kwa ofisi ya mkuu Huyo wa mkoa Leo mchana.
uamuzi wa rufaa uliojaa huruma nyingi taifa la wajinga hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom