Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

Huyu jamaa thinking capacity yake imefanana na uso wake! Kama walipanga hivyo kwanini wasingeteua tu hao wabunge wao wa ccm mkoa mzima wa Mwanza
 
ICC nguvu waitoe wapi mkuu wakati wameambiwa wapige chabo kimya
kimya kisha wasepe kisela.
 
Huyu dogo anatafuta kuhatarisha maisha yake na ya ukoo wake huko kwao nyumbani kibara Bunda, na pia maisha ya wasimamizi na jamaa zao. Akumbuke eneo la Busweru kwenda mpaka kishiri kupitia Igoma linakakiwa kwa wingi na watu wa mkoa wa mara ambao ugomvi kwao ni sehemu ya maisha, kwa kauli hiyo kama ni kweli Icc inamwita na kama yatatangazwa usiku hata askari wako hatarini.

I know Mara has fighters, he has to be careful
 
Yuko bega kwa bega kwenye kampeni za Magufuli kanda ya ziwa! Yuko live StarTV! Kiongozi wa serikali umevaa nguo za Chama nado unaitumikia serikali! Hata kama ni kada lakini kufutia vitisho anavyotoa kwa wakazi wa mwanza nani atakaa kwamba anatumiwa na Chama chake?
 
Acha naye, ni mwendawazimu wa kawaida sana, huyo Magessa Mulongo ndiye aliyeiua CCM Arusha kwa uzembe wake.
 
Wakati mwanza inapoteza majimbo 2010 ilikuwa na mkuu wa mkoa mwelevu na strategic, safari hii hali itakuwa mbaya zaidi kwa magamba!
 
Jamani napenda sana kujiunga na wanamabadiliko ko naomba kama kuna adimn wa group la whathApp ani add kwenye group my No 0754608893
 
Walimu wa mwanza,kweli mmetuaibisha,kitendo cha kusomba wanafunzi na kuwapeleka kwenye mkutano wa magufuli ili kutii amri ya mkuu wa mkoa kimenifanya niwadharau sana
 
Huyu kiboko yake ni Lema, ungekuta kuna uwezekano Lema akahamia mwanza tungefanya hivyo, mulongo angeomba ahamishiwe mkoa mwingine


Kweli kabisa, kwa Lema alikosa pumzi ikabidi abadili upepo
 
huyo jamaa atakua mpumbavu sana kama ni kweli atakua ametoa hiyo kauli ya kishetani.
kwanza nani kamwambia polisi wote ni fisiemu??
huko ni kulewa madaraka.
ajipime kama vipi.

Huyu ndio mfano wa wanachama JF, jukwaa la watu wanaofikiri, anaanza na tusi, hana uhakika na kili kilichoandikwa, anachangia hoja ambayo haijaifahamu vizuri na kuto hitimisho. Amaa kufikiri kwahitaji akili
 
kama anatangaza vita pw na sisi tunajua mahali pakuanzia, awapange hao policcm wake na sisi tunajua la kufanya atajutia maisha yake yote na ccm yake
 
Back
Top Bottom