Country-boy
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 330
- 120
Huyu jamaa thinking capacity yake imefanana na uso wake! Kama walipanga hivyo kwanini wasingeteua tu hao wabunge wao wa ccm mkoa mzima wa Mwanza
Huyu dogo anatafuta kuhatarisha maisha yake na ya ukoo wake huko kwao nyumbani kibara Bunda, na pia maisha ya wasimamizi na jamaa zao. Akumbuke eneo la Busweru kwenda mpaka kishiri kupitia Igoma linakakiwa kwa wingi na watu wa mkoa wa mara ambao ugomvi kwao ni sehemu ya maisha, kwa kauli hiyo kama ni kweli Icc inamwita na kama yatatangazwa usiku hata askari wako hatarini.
Acha naye, ni mwendawazimu wa kawaida sana, huyo Magessa Mulongo ndiye aliyeiua CCM Arusha kwa uzembe wake.
Huyu kiboko yake ni Lema, ungekuta kuna uwezekano Lema akahamia mwanza tungefanya hivyo, mulongo angeomba ahamishiwe mkoa mwingine
huyo jamaa atakua mpumbavu sana kama ni kweli atakua ametoa hiyo kauli ya kishetani.
kwanza nani kamwambia polisi wote ni fisiemu??
huko ni kulewa madaraka.
ajipime kama vipi.
Kuna jamaa angu aliwahi kuniambia kuwa RC wa Mwanza anatumia "masaburi" kwenye kufikiri...
Nimeamini.