Mkuu wa Mkoa wa Iringa ameelekeza kuwa makundi yafuatayo yote yanatakiwa kuwa na kitambulisho cha mjasiriamali

Asante Sana CCM Kwa kutuletea Dengue, Hakika mmeahidi na mnatekeleza
 
Tusaidiane!! Kodi ya PAYE wamelipa wafanyakazi muda mrefu! Na wengine walipe sasa!!
 
Aiseee
Madalali wote
Madereva tax wote kwanini iwe bajaji tu

List mpya itakuja

Leseni ya kuvaa kofia
Leseni ya kuvaa wig na weaving
Leseni ya kupaka make-up
Leseni ya wanaume kufuga nywele na kuvaa heleni
Leseni ya wanawake kuvaa suruali kama sio police
 
It’s okay kukusanya kodi, ila bora muwe wazi katika njia zenu, wananchi wakifeel wamekuwa ‘tricked’ itasababisha unnecessary tension
 
Huyu loudspeaker mbofu ya stoni ginger ana elimu gani kwani.Ye anacho kitambulisho.
 
Huu mkoa una Ng,ombe wengi wa ccm acha wakatwe mikia tu tena waongeze tu nyundo hadi akili ziwarudie!
 
Tianze na muheshimiwa. Bila shaka tutaanza na wanaofagia ofisi yake, housegirl wake tutakuta amening'iniza kitambulisho akiwa anawaogesha watoto wake, mke akiwa anampakulia mezani, houseboys wake wakiwa wanakamua maziwa na kufagia Banda la kuku n.k
 
.......... Inaendelea
100. Wavaa kofia (za aina zote) wote.

101. Wanyoa vipara wote.

102. Wanaomiliki TV na Visimbusi (watumiaji wa nyumbani) wote.

103. Wanaomiliki redio za kusikiliza majumbani kwao (za aina zote) wote.

104. Walioweka picha (za aina zote) kwenye kuta za sebule zao.

105. Wanaolalia vitanda vya mbao na vyuma wote.

106. Wenye sofa set kwenye sebule zao wote.

107. Wenye n.k zote, wote.

Kwi kwi kwi kwi....! Natania tu wakuu
 
Ni vision nzuri, ila iwekwe wazi kuwa kodi ya kichwa inamhusu kila moja ktk taifa letu kwa kila aliyetimiza umri wa kutafuta riziki kwa hali hii sasa
 
Back
Top Bottom